UDAKU: Ya Balotelli na Messina yatibuka!

IMEKUSANYWA NA CHRIS ADUNGO HARUSI iliyokuwa ifanyike mwezi huu kati ya mshambuliaji wa zamani wa Manchester City na Liverpool, Mario...

DIMBA: Ramsdale ‘nyani’ mpya asiyecheka na mtu Emirates

Na GEOFFREY ANENE AARON Christopher Ramsdale ni mmoja wa makipa wanaojizolea umaarufu kwenye ulimwengu wa soka. Amejitokeza kuwa...

DIMBA MASHINANI: Parklands Simba yajivunia mafanikio makubwa tangu iasisiwe Agosti 2020

Na PATRICK KILAVUKA KLABU ya Parklands Simba maarufu kama Simba United, inasherehekea mwaka mmoja tangu iasisiwe Agosti 2020. Uga...

DIMBA: Kiganjo Kings wanatambua bidii ya mchwa itawajenga

Na JOHN KIMWERE CHANGAMOTO zimekuwa chungu nzima, lakini hazijazuia wachezaji wa Kiganjo Kings kutia bidii, kwani lengo lao ni kutua...

DIMBA: Ruby: Beki mtulivu akiwa na boli na mkali wa kupangua wapinzani

Na GEOFFREY ANENE RUBEN dos Santos Gato Alves Dias ni mmoja wa wachezaji matata wanaotarajiwa kung’ara katika Ligi Kuu ya Uingereza...

DIMBA: Sambi Lokonga: kizibo tosha cha safu ya kati ya The Gunners!

Na GEOFFREY ANENE CHIPUKIZI Albert-Mboyo Sambi Lokonga ni kiungo anayeinuka kimchezo kwa haraka katika ulimwengu wa soka ambaye sasa ni...

DIMBA: Huyu Jo ndiye andazi moto la uhamisho 2021

Na GEOFFREY ANENE JONATHAN Christian David ni mmoja wa wanasoka matata wanaotarajiwa kuwaniwa sokoni kama mpira wa kona. Kipindi...

DIMBA: Washasema Waswidi: Huyu Alex Isak ndiye Zlatan mpya

Na GEOFFREY ANENE SWALI nani atajaza nafasi ya mchana nyavu matata Zlatan Ibrahimovic atakapostaafu kabisa kuchezea Uswidi, linasalia...

DIMBA: Mkenya anayetamba Uswidi kwa ueledi wake katika mashambulizi

Na GEOFFREY ANENE JOSEPH Stanley Okumu ni mmoja wa mabeki klabu ya IF Elfsborg itatagemea kwenye kampeni zake za Ligi Kuu ya Uswidi...

DIMBA: Jules Kounde ni kisiki kisichovuja ligini Uhispania

Na GEOFFREY ANENE JULES Oliver Kounde ni mmoja wa mabeki matata kambini mwa Sevilla. Mfaransa huyu mwenye asili ya Benin anafanya...

DIMBA: Huyu chipukizi En-Nesyri anawindwa kama Mo’ Salah

Na GEOFFREY ANENE YOUSSEF En-Nesyri ni mmoja wa wachezaji chipukizi wanaomezewa mate na timu za kutoka ligi maarufu ya soka duniani,...

DIMBA: Josh ‘magic’ Maja: Fimbo ya Fulham iliyosagasaga Everton

Na GEOFFREY ANENE KINDA Josh Maja alitangaza kuwasili kwenye Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) kwa kishindo yapata wiki moja...