Ronaldo na nduguze wanunulia mama yao zawadi ya benzi nyeusi

Na CHRIS ADUNGO DOLORES Aveiro alishindwa kuzuia furaha yake baada ya kupokezwa zawadi ya gari kutoka kwa mwanawe Cristiano Ronaldo na...