DOMO KAYA: Ukimya ni dhahabu…!

Na MWANAMIPASHO DUH! Wajua bwana kuna mambo mengine kama mwanaume unatakiwa kukaa kimya. Imefikia hatua sasa tunashindana na wenzetu...

DOMO KAYA: Wanasema tabia ni ngozi!

Na MWANAMIPASHO MOJA kati ya stori kubwa ambayo imetawala vichwa vya habari mitandaoni hadi magazetini ni kuwahusu Paul na pacha wake...

DOMO KAYA: Napenda kiki ya dizaini hii

Na MWANAMIPASHO NAONA watu wanamwingilia sana Eric Omondi baada ya jamaa kuanika mjengo wa kifahari anaodai kuumiliki maeneo ya...

DOMO KAYA: Jamani nani kamkula fare?

Na MWANAMIPASHO KUNA mjomba aitwaye Andrew Kibe. Alianza kama utani kuchambua tabia za mademu wa Nairobi na jinsi wanavyowapa ugumu...

DOMO KAYA: Wanaume twakwama wapi?

Na MWANAMIPASHO AISEE! Sijui leo nianzie wapi. Wanaume hivi tunakwama wapi? Mwanzo kuna huyu Samidoh, eti kampachika ujauzito...

DOMO KAYA: Mtakuja kupigwa kiboko!

Na MWANAMIPASHO LAZIMA mtakuwa mmesikia ile stori ya yule mwanamuziki wa injili Mr Seed aliyeamua kupanda mbegu kwenye shamba la...

DOMO KAYA: Leo hii kajifanya mbogo!

Na MWANAMIPASHO HIVI umewahi kusikia ule msemo kuwa adui ya mwanamke ni mwanamke? Huyu aliyeibuka na semi hii lazima alikuwa ameyaona...

DOMO KAYA: Tuseme kajitakia mwenyewe

Na MWANAMIPASHO NIMEMWONA Georgina Muteti, demu wake Khaligraph Jones akimtetea sista-du Tanasha Donna. Georgina anadai kuwa wadau...

DOMO KAYA: Ama kweli yote ni vanity!

Na MWANAMIPASHO MIMI sio mshauri nasaha, wala mtaalamu wa ndoa ila nimewahi kuwa kwenye ndoa lakini haikusimama. Mwaka wa kwanza na...

DOMO KAYA: Nai-Fest inazidi kukosa shangwe

Na MWANAMIPASHO STORI kubwa ya Showbiz iliyotrendi wiki hii inamhusu soshiolaiti maarufu Bridget Achieng, aliyelala siku moja na kesho...

DOMO KAYA: ‘Kakinuka, acha kanuke’

Na MWANAMIPASHO STORI inayotrendi kwa sasa inahusu ndoa yake mwanamuziki wa injili Size 8 Reborn na mume wake DJ Moh. Stori ni kwamba...

DOMO KAYA: Kwa sasa nitagomea hiyo stori ya Tanasha

Na MWANAMIPASHO AISEE! Juzi Jumatano nimecheka sana. Ni kama vile nilitarajia lakini ndugu wenzangu waandishi wa habari hawakukiona...