Watoto wa demu wadharau sponsa

Na JOHN SAMUEL MUTUKU BAHATI, NAKURU POLO wa eneo hili aliyekuwa akijiandaa kuoa alipata mshangao atakaochukua muda mrefu kusahau...

Fisi aibiwa tairi akila vya haramu

Na TOBBIE WEKESA ROYSAMBU, Nairobi KIZAAZAA kilizuka eneo hili polo alipokatiziwa raha ya kuchovya asali katika chumba cha mpenzi...

Polo auguza nyeti kisiri nyumbani

Na JOHN MUTUKU SAMUEL PIPELINE, NAIROBI POLO mtaani hapa alijifungia ndani ya nyumba kwa siku kadhaa kujiuguza baada ya kufinywa...

Polo 2 wakabana demu akijifungua

Na TOBBIE WEKESA KABARNET, BARINGO POLO alipigwa na butwaa alipowasili katika hospitali moja hapa na kumpata jamaa mmoja akimsubiri...

Pasta mfuska anusurika kichapo

Na JOHN MUTUKU SAMUEL KIBINGOTI, Kirinyaga PASTA wa kanisa moja eneo hili hakuamini arubaini zake zilipofika akajipata akinyenyekea...

Polo aporwa na kisura ‘malaika’

Na JOHN MUTUKU SAMUEL HURLINGHAM, NAIROBI POLO alibaki kulia na kuomboleza kama mfiwa, akashindwa kutoka nje ya nyumba kichuna...

Polo ajuta kutafuna kuku na mayai yake

Na NICHOLAS CHERUIYOT NAROK Mjini BAROBARO mmoja wa mji huu alifinywa na kisha kutimuliwa na shugamami wake kwa kunyemelea binti...

Demu avamia polo kwa kutomtongoza

Na JOHN MUSYOKI MAKONGENI, THIKA KIDOSHO mmoja mtaani hapa alimzaba kofi jamaa mmoja kwa kukataa kumtongoza. Demu alikuwa na...

Chupi za kimada zanaswa mvunguni

Na JOHN MUTUKU SAMUEL UMOJA ONE, Nairobi MIPANGO ya polo wa hapa kuhama nyumba ilivurugika mkewe alipopata chupi ambazo kimada wa...

Demu aachwa kwa kukwamilia mzinga

Na TOBBIE WEKESA MWIKI, NAIROBI KIDOSHO mmoja hakuamini mpenzi wake alipomuacha mataani kwa kukataa kumtimizia haja...

Polo atorokwa na demu juu ya msoto

Na TOBBIE WEKESA ROASTERS, Nairobi POLO mmoja alilazimika kula kwa macho baada ya kidosho aliyekuwa akiburudika naye katika baa...

Waume wazomea pasta wa wake wao

Na TOBBIE WEKESA INGOTSE, KAKAMEGA MAKALAMENI kadhaa waliwashangaza wengi walipovamia mkutano wa wahubiri wa eneo hili wakidai wake...