Wafanyabiashara wawatunuka wateja wao nguo za bure sherehe za Eid al-Fitr

Na KALUME KAZUNGU WAFANYABIASHARA wa mitumba katika mji wa kale wa Lamu wamewatunuka wateja wao nguo za bure wakati wakiadhimisha...

Waislamu kuswali na kusherehekea Eid al-Fitr kesho Jumapili

MISHI GONGO na MOHAMED AHMED KADHI Mkuu nchini Ahmed Muhdhar amewatangazia Waislamu waswali na kusherehekea Eid al-Fitr kesho Jumapili...

Waislamu wamiminika madukani Lamu kununua nguo na bidhaa muhimu kwa maandalizi ya Idi

Na KALUME KAZUNGU WAUMINI wa dini ya Kiislamu katika Kaunti ya Lamu wamemiminika madukani kununua nguo na bidhaa muhimu zikiwemo vyakula...

Himizo Waislamu watii masharti hata wakati wa sherehe za Eid al-Fitr

Na MISHI GONGO VIONGOZI wa dini ya Kiislamu wamewashauri waumini wazingatie sheria na kanuni zilizowekwa kudhibiti virusi vya corona...

Serikali yatangaza Mei 25 sikukuu ya Eid al-Fitr

Na CECIL ODONGO SERIKALI imetangaza Jumatatu Mei 25, 2020, kuwa itakuwa sikukuu ya mapumziko kote nchini wakati Waislamu wakitarajiwa...

COVID-19: Mara hii hakuna mikusanyiko sherehe za Eid al-Fitr

Na MISHI GONGO BAADA ya mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhan waumini wa dini ya Kiislamu hufanikisha kukamilika kwa mwezi huo kwa...