Elachi atunukiwa Unaibu Waziri Uhuru akipanua serikali yake

Na COLLINS OMULO Aliyekuwa Spika wa Bunge la Kaunti ya Nairobi amejiunga na serikali ya Rais Uhuru Kenyatta baada ya kuteuliwa waziri...

Spika wa bunge la kaunti ya Nairobi Beatrice Elachi ajiuzulu

Na MARY WANGARI SPIKA wa Bunge la Kaunti ya Nairobi Beatrice Elachi amejiuzulu; akimuachia naibu wake John Kamangu majukumu hadi...

Kizaazaa Nairobi spika Beatrice Elachi akijifungia ofisini

Na COLLINS OMULO KIZAAZAA kimeshuhudiwa Jumanne katika Bunge la Kaunti ya Nairobi ambapo Spika Beatrice Elachi amejifungia ofisini...

Elachi amkataa Ann Mwenda kuwa naibu mteule wa Sonko

Na COLLINS OMULO GAVANA wa Nairobi Mike Sonko amepatwa na pigo baada ya jina la Ann Mwenda aliyemteua kuwa naibu wake kukataliwa na...

Makabiliano mapya baina ya madiwani yatarajiwa Nairobi

NA COLLINS OMULO MALUMBANO zaidi yanatarajiwa Jumatatu katika Kaunti ya Nairobi huku viongozi wapya walioidhinishwa kutwaa nyadhifa za...

Ghasia zaendelea bunge la Nairobi kuhusu Elachi

Na COLLINS OMULO VUTA n'kuvute kwa mara nyingine imeshuhudiwa tena katika Bunge la Kaunti ya Nairobi Nairobi madiwani wakikabiliana...

Elachi aongoza sherehe ya kuapishwa kwa wanachama wapya wa bodi ya huduma za bunge la Nairobi

Na CHARLES WASONGA SPIKA wa Bunge la Kaunti ya Nairobi Beatrice Elachi mnamo Jumatano aliongoza hafla fupi ya kuapishwa kwa wanachama...

Elachi ajitenga na Mariga

Na CHARLES WASONGA IDADI ya viongozi wa Jubilee wanaojitenga na mgombea wa chama hicho katika uchaguzi mdogo wa Kibra McDonald Mariga...

TAHARIRI: Madiwani wakome kutatiza maafisa

NA MHARIRI KUMEKUWA na ripoti mbalimbali kuhusiana na viongozi wa kaunti, wakiwemo magavana, maspika na mawaziri, viongozi wa wengi au...

BEATRICE ELACHI: Ghasia ofisini zamsukuma kujificha chooni

Na PETER MBURU GHASIA na vioja vilitawala bunge la Kaunti ya Nairobi Jumatatu, wakati madiwani walivamia Afisi ya Spika Beatrice Elachi...

Elachi alilia Jubilee imwokoe

Na BRIAN OCHARO SPIKA wa bunge la Kaunti ya Nairobi Beatrice Elachi ametaja hatua ya wawakilishi wadi wa kaunti hiyo kumng’atua kutoka...