WANDERI KAMAU: Tutajinasua vipi kutoka kwa usahaulifu wetu?

Na WANDERI KAMAU NGIRI ni mnyama mwenye usahaulifu mkubwa sana. Ni kiumbe ambaye amekuwa akitumiwa kama mfano wa kuelezea athari za...

MARY WANGARI: Juhudi za pamoja zinahitajika kufanikisha utekelezaji wa CBC

Na MARY WANGARI RAIS Uhuru Kenyatta hivi majuzi alizindua ripoti ya Jopokazi la Mtaala Mpya wa Elimu (CBC) katika hatua iliyoandaa...

LEONARD ONYANGO: CBC isiwabague watotowatokao familia maskini

Na LEONARD ONYANGO IDARA mpya iliyobuniwa na Rais Uhuru Kenyatta katika Wizara ya Elimu ili kusimamia utekelezaji wa mfumo mpya wa Elimu...

Muda uliosalia kabla ya mtihani wa kitaifa unatosha kujiandaa

MTIHANI huzua changamoto kwa yeyote anayepania kuufanya. Nakisia ni kwa sababu ya ushindani unaohusishwa nao, hasa nchini mwetu. Aghalabu...

Kiini cha wavulana kutorejea shuleni

Na WAANDISHI WETU WAVULANA wengi kote nchini, wameshindwa kurudi shuleni kwa kuwa walizoea kupata pesa wakiwa nyumbani shule...

LEONARD ONYANGO: Serikali ina mengi ya kujifunza kuhusu elimu

Na LEONARD ONYANGO TANGU kufunguliwa kwa shule Januari 4, mwaka huu, baada ya watoto kukaa nyumbani kwa karibu miezi kumi kufuatia janga...

Wanafunzi wengi zaidi kusomea chini ya miti 2021

Na WAANDISHI WETU IDADI kubwa ya wanafunzi watakaorudi shuleni wiki ijayo, watalazimika kusoma chini ya miti baada ya serikali kushindwa...

Sh19 bilioni za mpango wa elimu bila malipo kutolewa kabla ya Januari 4

Na CHARLES WASONGA WIZARA ya elimu Jumatatu ilitangaza kuwa serikali itatuma Sh19 bilioni katika shule za msingi na za upili za umma...

2020: Corona ilivyozamisha sekta ya elimu

Na WANDERI KAMAU MIONGONI mwa masuala yaliyoathiriwa sana na mchipuko wa janga la virusi vya corona mwaka huu ni sekta ya elimu. Mara...

Wakazi wa Marakwet waomboleza Padre Reinhard Bottner aliyewaletea ‘mwanga’ wa elimu, imani ya dini na huduma za afya

Na EVANS KIPKURA PADRE raia wa Ujerumani, Reinhard Bottner alipotumwa Kenya kwa shughuli za kimisheni mnamo 1975, alijipata katika eneo...

Magoha bado asisitiza shule zafaa kufunguliwa sasa

Na CHARLES WASONGA WAZIRI wa Elimu, Prof George Magoha amesisitiza kuwa wakati umetimia kwa shule zote kufunguliwa.Mnamo Jumatatu, Rais...

Huenda shule zifunguliwe Oktoba 19

Na FAITH NYAMAI SHULE huenda zikafunguliwa Oktoba 19, iwapo serikali itakubali mapendekezo ya kamati inayosimamia masuala ya elimu...