Sofapaka wampa kigogo Elly Asieche utepe wa unahodha

Na CHRIS ADUNGO KUONDOKA kwa beki na nahodha George Maelo kambini mwa Sofapaka kumechochea kikosi hicho kilichotawazwa mabingwa wa Ligi...