Shule zafungwa Addis wanafunzi wavune mazao ya ‘wanajeshi’

Na XINHUA ADDIS ABABA, ETHIOPIA SERIKALI ya Ethiopia imefunga shule zote za sekondari kuwezesha wanafunzi kwenda kuvuna mazao kwenye...

Vita Ethiopia vyatishia hali ya Kenya

Na MARY WAMBUI MAPIGANO yanayoendelea nchini Ethiopia yanahatarisha uwekezaji na usalama wa Kenya iwapo hali itaendelea kukuza...

Chama chake Abbiy kifua mbele uchaguzini Ethiopia

Na MASHIRIKA CHAMA cha Waziri Mkuu wa Ethiopia, Abiy Ahmed, kinatarajiwa kunyakua viti vingi vya ubunge katika uchaguzi mkuu uliofanyika...

Hofu Ethiopia ikianza kuuza miraa Somalia

Na DAVID MUCHUI WAKUZAJI miraa nchini wameeleza wasiwasi kwamba huenda wakapoteza soko la Somalia kabisa, baada ya Ethiopia kuanza...

Watu 160 wauawa kwenye maandamano Ethiopia

Na MASHIRIKA WATU 160 wameuawa nchini Ethiopia kufuatia maandamano makali ambayo yamelikumba taifa hilo kwa siku kadhaa kutokana na...

Fujo msanii stadi akizikwa

Na MASHIRIKA ADDIS ABABA, ETHIOPIA MWANAMUZIKI maarufu nchini Ethiopia, Hachalu Hundessa ambaye aliuawa akiliendesha gari lake, jana...

Watu wanne washtakiwa kwa ulanguzi wa binadamu

Na RICHARD MUNGUTI WASHUKIWA wanne wa ulanguzi wa raia 11 wa Ethiopia walishtakiwa Alhamisi katika mahakama ya Milimani jijini...

Ethiopia yaomboleza Waziri Mkuu akitoa hakikisho hali Amhara imedhibitiwa

Na MASHIRIKA ADDIS ABABA, ETHIOPIA BENDERA nchini Ethiopia zilipeperushwa nusu mlingoti Jumatatu, serikali ilipotangaza siku moja ya...

Familia za waliokufa Ethiopia zahangaishwa na mawakili

Na PHYLIS MUSASIA MAWAKILI wakiwemo wa kutoka ng’ambo, wameanza kuziandamana familia za waliopoteza jamaa zao kwenye mkasa wa ndege ya...

MKASA WA ETHIOPIA: Dhiki ya kuzika mchanga

NA MASHIRIKA SHIRIKA la ndege la Ethiopia limewapatia jamaa wa familia za watu 157 waliokufa kwenye ajali wiki iliyopita, mifuko yenye...

Maafisa Ethiopia waomba usaidizi kuelewa taarifa za kisanduku

PHYLISS MUSASIA na AFP MAAFISA nchini Ethiopia walisema JumatanoNdege:Maafisa wataka usaidizi kuelewa taarifa kuwa wameshindwa kusoma...

Ndege mbili aina ya Boeing 737 MAX 8 zapiga abautani angani

CHARLES WASONGA na MASHIRIKA NDEGE mbili aina ya Boeing 737 MAX 8 za Shirika la Ndege la Uturuki ambazo zilikuwa zikisafiri kuelekea...