Everton yazamisha chombo cha Arsenal katika EPL ugani Goodison Park

Na MASHIRIKA BAO la dakika za mwisho kutoka kwa fowadi Demarai Gray liliwapa Everton wa 2-1 dhidi ya Arsenal kwenye mchuano wa Ligi Kuu...

Everton kujenga uwanja mpya wa kubeba mashabiki 52,000 kwa Sh71 bilioni

Na MASHIRIKA MIPANGO ya Everton kujenga uwanja mpya wenye uwezo wa kubeba zaidi ya mashabiki 52,000 walioketi imeidhinishwa bila...

Makazi ya kocha Ancelotti yavamiwa mjini Merseyside, Uingereza

Na MASHIRIKA MAKAZI ya kocha Carlo Ancelotti wa Everton yalivamiwa na majambazi usiku wa kuamkia Jumamosi na kijisanduku kilichokuwa na...

Mvua ya mabao Everton wakidengua Tottenham kwenye raundi ya tano ya Kombe la FA kwa magoli 5-4

Na MASHIRIKA EVERTON walitinga hatua ya nane-bora kwenye kampeni za Kombe la FA msimu huu baada ya kuwapokeza Tottenham Hotspur kichapo...

Everton yapigwa 2-0 na Southampton United beki Lucas Digne akionyeshwa kadi nyekundu

Na MASHIRIKA EVERTON walipokezwa kichapo cha 2-0 kutoka kwa Southampton katika Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) mnamo Oktoba 25, 2020...

Everton wajitwalia huduma za kipa Olsen ili amwamshe Jordan Pickford aliyezembea langoni

Na MASHIRIKA EVERTON wamemsajili kipa raia wa Uswidi, Robin Olsen kwa mkopo wa mwaka mmoja kutoka AS Roma ya Italia. Mlinda-lango...

Beki Keane atia saini mkataba mpya na Everton hadi 2025

Na MASHIRIKA BEKI matata wa Everton, Michael Keane ametia saini mkataba mpya wa miaka mitano ambao kwa sasa utamdumisha ugani Goodison...

Sportpesa watemwa EPL na klabu ya Everton

Na GEOFFREY ANENE WADHAMINI wa zamani wa Gor Mahia, AFC Leopards pamoja na Ligi Kuu ya Kenya (KPL), SportPesa wamepata pigo jingine...

SURA TISHO: Liverpool yaicharaza Everton 1-0 dimba la FA

Na MASHIRIKA MERSYSIDE, Uingereza LICHA ya mabadiliko kadhaa yaliyofanywa na kocha Jurgen Klopp, kikosi cha Liverpool kilionyesha...

Bwire shujaa akiongoza Sharks kurarua Everton mbele ya mashabiki 64,000

Na GEOFFREY ANENE Wenyeji Kariobangi Sharks walijikakamua mbele ya mashabiki wao na kulemea mabingwa mara tano wa Kombe la FA Everton...

TUKUTANE KASARANI: Mastaa wa Everton wafika Nairobi kushuhudia mchuano wa The Toffeemen dhidi ya Kariobangi Sharks

Na GEOFFREY ANENE MASHUJAA wa zamani wa klabu ya Everton, Steven Pienaar kutoka Afrika Kusini na Mwingereza Leon Osman wako nchini...

Everton kuwasili nchini Julai 6 tayari kulimana na Kariobangi Sharks

Na GEOFFREY ANENE MABINGWA mara tano wa Kombe la FA, Everton watawasili jijini Nairobi hapo Julai 6 asubuhi kwa ziara yao ya pili katika...