Maswali anayopaswa kujiuliza mwandishi yeyote wa kubuni kabla ya kuanza kutunga

JUMA lililopita, nilionesha na kujadili jinsi mwandishi wa kubuni anaweza kupata visa vya kutungia hadithi. Baadhi ya chemchemi za visa...

Uchambuzi wa Kitabu ‘Mbio Kuhimiza Umoja wa Afrika’

Waandishi: Ursula Wafula na Brian Wambi Mchapishaji: African Storybooks Initiative Mhakiki: Wanderi Kamau Kitabu: Novela ya...

UKUMBI WA LUGHA NA FASIHI: Alama ya kistari kifupi, ritifaa na nuktakatishi katika uakifishaji

Na MARY WANGARI TUMEKUWA tukichambua na kujifahamisha kuhusu alama mbalimbali za uakifishaji na matumizi yake sahihi katika...

UKUMBI WA LUGHA NA FASIHI: Kituo cha kistari kirefu, deshi (-) katika uakifishaji

Na MARY WANGARI KATIKA makala ya leo, tutaendelea kujifahamisha kuhusu kituo cha deshi katika uakifishaji na jinsi matumizi yake sahihi...

UKUMBI WA LUGHA NA FASIHI: Alama ya kistari kirefu, au deshi (-) katika uakifishaji

Na MARY WANGARI KATIKA Makala ya leo, tutajadili na kujifahamisha zaidi kuhusu matumizi ya kituo cha deshi au ukipenda kistari kirefu...

UKUMBI WA LUGHA NA FASIHI: Tamathali za usemi katika lugha ya kisiasa

Na ALEX NGURE KWA mujibu wa Mulokozi na Kahigi (1979), tamathali za usemi ni vifananisho au viwakilisho vya dhana fulani kwa dhana...

Sumu Ya Bafe: Kazi inayoukosoa uongozi mbaya kijazanda

Jina la utungo: Sumu ya Bafe Mwandishi: K.W. Wamitila Mchapishaji: Vide-Muwa Mhakiki: Nyariki Nyariki Kitabu:...

UKUMBI WA LUGHA NA FASIHI: Uchangamano wa dhana ya itikadi katika miktadha ainati

Na ALEX NGURE KAMUSI ya Kiswahili Sanifu inatoa kijelezi cha neno itikadi kama: 1) imani katika jambo la dini na jinsi ya mapokezi...

UKUMBI WA LUGHA NA FASIHI: Mwandishi atafaulu zaidi akioanisha fani na maudhui

Na ALEX NGURE WATAALAMU wengi wamelielezea neno hili fasihi. Kwa hakika fafanuzi na nadharia juu yake ni nyingi. Neno fasihi kama...

UKUMBI WA LUGHA NA FASIHI: Uigaji hauzuiliki katika ubunifu hasa wa kazi za fasihi

Na ENOCK NYARIKI KATIKA ubunifu wa kazi za fasihi – novela, riwaya, tamthilia au hadithi fupi – mwandishi hujikuta amemuiga...

UKUMBI WA LUGHA NA FASIHI: Viambajengo muhimu katika utamaduni wa Kiswahili

Na MARY WANGARI Ndoa na Harusi – Hiki ni kipengele kingine muhimu chenye uzito Uswahilini kwa kuwa ni taasisi ya kwanza katika maisha...

UKUMBI WA LUGHA NA FASIHI: Utamaduni na lugha ya Kiswahili

Na MARY WANGARI KWA mujibu wa msomi Mbaabu (1985), utamaduni unahusu mila, asili, jadi, na desturi za mavazi, vyakula, imani, tabia, na...