Fatalaiza ya bei nafuu, kero la nzige msimu wa upanzi ukianza

Na CHARLES WASONGA NI afueni kwa wakulima wa eneo la North Rift baada ya serikali kutangaza mipango ya kutoa mbolea wanapojiandaa kwa...

Muite aomba korti itupe ombi la KRA kupima fatalaiza

Na RICHARD MUNGUTI KAMPUNI iliyoagiza fatalaiza inayodaiwa kuwa na madini ya zebaki (mercury) pamoja na washukiwa wengine 11 Jumatatu...

Maafisa wawili waitwa kortini kuhusu mbolea hatari

Na RICHARD MUNGUTI MAAFISA wawili katika Mamlaka ya Ushuru nchini (KRA) na Mamlaka ya Bandari (KPA) Alhamisi waliamriwa wafike kortini...

Wakulima walia kuhangaishwa kupata mbegu na mbolea

RICHARD MAOSI NA KEVIN ROTICH WAKULIMA kutoka Kaunti za Nakuru na Kericho wameomba serikali iwapunguzie gharama ya mbolea na mbegu...

Mahakama yaamuru mbolea ipimwe katika maabara huru

Na RICHARD MUNGUTI MAHAKAMA ilikataa kumwagiza Mkurugenzi wa Upelelezi wa Masuala ya Jinai (DCI) George Kinoti kufika mahakamani kueleza...

Wakulima wakasirishwa na upungufu wa mbolea

Na TITUS OMINDE WAKULIMA wa nafaka kutoka eneo la Kaskazini mwa Rift Valley wamelalamikia uhaba wa mbolea msimu huu wa...