Achani kufuatilia usafishaji wa maji ya chumvi

NA KNA SERIKALI ya Kaunti ya Kwale, inaendeleza mashauriano na kampuni tatu kabla ya kuanzisha usafishaji wa maji ya baharini kwa matumizi...

Kura ‘ziliuzwa’ kwa Sh600, shahidi adai

NA BRIAN OCHARO SHAHIDI katika kesi inayopinga ushindi wa Gavana wa Kwale, Bi Fatuma Achani, amedai kuwa wapigakura walikuwa wakilipwa...

Wakazi waalikwa kwa hafla ya ‘kihistoria’ ya kuapisha Achani

NA KNA WAKAZI wa Kaunti ya Kwale, wameombwa kujitokeza kwa wingi kushuhudia kuapishwa kwa gavana wa kwanza wa kike wa kaunti kuwahi...

Mikakati ya UDA kuzuia kuhepwa

NA SIAGO CECE CHAMA cha United Democratic Alliance (UDA), kimeanza kujizatiti kurudishia wafuasi wake imani baada ya kutorokwa na baadhi...

Mwamko mpya wanawake Pwani wakilenga ugavana

Na PHILIP MUYANGA KUONGEZEKA kwa idadi ya wanawake katika kinyang’anyiro cha ugavana eneo la Pwani kunaonyesha mabadiliko makubwa ya...

Mwashetani aachia Achani tikiti ya ugavana

Na SIAGO CECE AZIMIO la Naibu Gavana wa Kwale, Bi Fatuma Achani, kuwania ugavana mwaka 2022 limepigwa jeki baada ya Mbunge wa...

Mtihani manaibu 3 wakiendea ugavana

MAUREEN ONGALA na VALENTINE OBARA MANAIBU gavana wa kaunti tatu za Pwani wanatarajiwa kukabiliana na mibabe wa kisiasa mwaka ujao katika...