Ukosefu wa hela umeeneza corona kwenye kaunti – Magavana

Na RICHARD MUNGUTI KUCHELEWESHWA kwa fedha za kaunti na Hazina Kuu kumechangia pakubwa kuongezeka kwa maambukizi ya Covid-19 maeneo ya...

Serikali ‘yachapisha’ pesa mpya kufufua uchumi

NA FAUSTINE NGILA SERIKALI 'imechapisha' fedha mpya za Sh15 bilioni katika kipindi cha siku saba kufikia Septemba 25, kulingana na...

Maseneta sasa waamua kuharakisha mswada wa kuwezesha kaunti kupata sehemu ya fedha

Na CHARLES WASONGA BAADA ya kung’amua kuwa hawataelewana haraka kuhusu mfumo wa ugavi wa fedha baina ya kaunti, maseneta sasa...

WASONGA: Mzozo wa ugavi pesa ni kuhusu siasa wala si maslahi ya raia

Na CHARLES WASONGA LEO maseneta wanarejelea mjadala tata kuhusu mfumo wa ugavi wa fedha miongoni mwa kaunti 47. Hii ni baada yao kukosa...

Maskini kupigwa kiboko

Na CHARLES WASONGA WATU wanaoishi katika kaunti maskini za Pwani, Kaskazini Mashariki na Ukambani wataendelea kuzama kwenye uchochole...

Maseneta wachemka wakipinga mfumo mpya wa ugavi wa fedha

NA CHARLES WASONGA ZAIDI ya maseneta 21 wamepinga mfumo mpya wa ugavi wa fedha baina ya kaunti uliopendekezwa na Tume ya Ugavi wa Mapato...

Bei ya unga kushuka

Na CHARLES WASONGA NI rasmi sasa kwamba bei ya unga wa mahindi na ngano itashuka na hivyo kuwanusuru Wakenya kutokana na makali ya...

Wito klabu zitengewe asilimia kubwa mgao wa fedha za Fifa

Na CHRIS ADUNGO HUKU kila mojawapo ya mashirikisho ya soka duniani yakitarajiwa kupokea kima cha Sh50 milioni kutokana na mgao wa...

Ukuaji wa uchumi washuka

Na CHARLES WASONGA UKUAJI wa uchumi wa Kenya ulipungua hadi asilimia 5.4 mwaka 2019 kutoka asilimia 6.3 mnamo 2018, takwimu za hivi...

Muturi amtaka Yatani aunde hazina maalum ya kuweka fedha kutoka kwa mishahara iliyokatwa

Na CHARLES WASONGA SPIKA wa Bunge la Kitaifa Justin Muturi amemtaka Waziri wa Fedha Ukur Yatani abuni hazina maalum ambapo pesa...

Serikali Kuu kuzinyima fedha kaunti 34 ambazo hazijalipa madeni

Na CHARLES WASONGA SERIKALI za kaunti 34 ambazo hazijalipa madeni yao yote halali kufikia Juni 30, 2018 huenda zikanyimwa mgao wa fedha...

Maseneta wamuunga Yatani kuzinyima fedha kaunti zenye malimbikizo ya madeni

Na CHARLES WASONGA MPANGO wa Wizara ya Fedha wa kuzinyima fedha serikali 15 za kaunti ambazo hazijalipa madeni yao umepata uungwaji...