Wawili wanaswa na noti feki za Sh750 milioni

WINNIE A ONYANDO Washukiwa wawili wa pesa bandia ya Ksh750 milioni wamekamatwa. Polisi wanaendelea kufanya upelelezi kuhusiana na...

Raia wa TZ akana kuuza vifaa feki vya kupima Ukimwi Kenya

Na RICHARD MUNGUTI RAIA wa Tanzania anayefanya biashara nchini Kenya Jumatatu alishtakiwa kwa kuuza vifaa feki vya kupima ugonjwa hatari...

Makachero wamnyaka ‘sponsa feki’ jijini

Na CECIL ODONGO MWANAMUME anayedaiwa kuwahadaa wasichana wa vyuo vikuu kwamba yeye ni tajiri anayeweza kuwafadhili waishi maisha ya...

Barakoa na sanitaiza feki zafurika sokoni

JAMES MURIMI Na BENSON MATHEKA Huku idadi ya wahudumu wa afya wanaoambukizwa virusi vya corona ikiongezeka, imebainika kuwa serikali...

Mchina ndani kwa kuuza vifaa feki vya corona

Na RICHARD MUNGUTI MKURUGENZI Mkuu wa kampuni moja ya Uchina alishtakiwa Jumatatu kwa kuuza bidhaa feki za kupima ugonjwa wa...

Nchi ya wakora

Na WAANDISHI WETU KATIKA siku za hivi karibuni, Wakenya wamekuwa wakipoteza pesa na mali yao mikononi mwa matapeli wa aina mbalimbali,...

TEKNOHAMA: Facebook kuzima habari feki za tiba

Na LEONARD ONYANGO MITANDAO ya kijamii ni sawa na maji ya mafuriko; hubeba takataka na vitu vya thamani. Licha ya mitandao ya kijamii...

TAHARIRI: Pesa feki ni hatari kwa uchumi wetu

NA MHARIRI TANGU mwaka huu uanze, kumekuwa na ongezeko la visa vya watu kupatikana wakiwa na pesa zinazoshukiwa kuwa bandia. Mwezi...

Melly asafisha kozi zinazodaiwa kuwa ‘feki’

Na CAROLYNE AGOSA MWENYEKITI wa Kamati ya Bunge kuhusu Elimu na Utafiti Bw Julius Melly, amepuuzilia ripoti ya hivi majuzi kwamba kozi...

NGILA: Tovuti za habari feki ni tisho kwa taaluma ya uanahabari

Na FAUSTINE NGILA YAMKINI kila mtu anayetegemea mitandao ya kijamii kupata habari za matukio ya kila siku amekumbana na vichwa vya...

TAHARIRI: Walaghai wasiendelee kukosesha taifa mabilioni

Na MHARIRI UFICHUZI wa Halmashauri ya Kukabiliana na Bidhaa Ghushi Kenya (ACA) kwamba serikali inapoteza Sh200 bilioni kila mwaka...

Bidhaa feki huipotezea serikali Sh200 bilioni – Ripoti

Na WANDERI KAMAU SERIKALI hupoteza Sh200 bilioni kila mwaka kutokana na uingizaji wa bidhaa ghushi nchini. Hii ni licha ya mikakati...