Waititu asema yuko ndani ya Kieleweke na Handisheki

Na MWANGI MUIRURI ALIYEKUWA Gavana wa Kiambu Ferdinand Ndung’u Waititu ametangaza Jumanne kwamba anaunga mkono juhudi za Rais Uhuru...

Babayao akunja mkia kufuata Uhuru

Na MWANGI MUIRURI ALIYEKUWA Gavana wa Kiambu, Bw Ferdinand Ndung’u Waititu amesalimu amri na kuamua kumuunga mkono Rais Uhuru Kenyatta...

Mwaka 2020 ulivyosambaratisha mipango ya Waititu

Na SAMMY WAWERU Ferdinand Ndung’u Waititu si mgeni machoni mwa umma kutokana na umaarufu wake na wa aina yake katika ulingo wa...

Hakuna wa kunizuia kuwania ugavana Nairobi – Baba Yao

Na STEVE OTIENO ALIYEKUWA Gavana wa Kiambu, Ferdinand Waititu, amepuuzilia mbali wanaosisitiza hafai kuwania ugavana...

Madaktari watatu kumpima Waititu

Na RICHARD MUNGUTI MKURUGENZI wa mashtaka ya umma (DPP) Jumatatu aliomba mahakama iamuru Bodi ya Madaktari (KMPDB) iteue madktari watatu...

Waititu kupimwa corona kabla ya kushtakiwa

Na RICHARD MUNGUTI HAKIMU anayesikiza kesi ya ufisadi inayomkabili Ferdinand Waititu ya Sh598milioni aliamuru apimwe katika hospitali ya...

Waititu ni kionjo tu, Rais aonya magavana

GEORGE MUNENE na WANDERI KAMAU RAIS Uhuru Kenyatta amewaonya magavana wote wanaoshiriki katika ufisadi kwamba, watang’olewa...

Hatima ya Waititu kuamuliwa wiki ijayo – Lusaka

Na CHARLES WASONGA HATIMA ya Gavana wa Kiambu Ferdinand Waititu Baba Yao aliyekataliwa na madiwani wa kaunti hiyo sasa itaamuliwa na...

Baba Yao atiwa adabu na madiwani

NA CHARLES WASONGA MADIWANI wa Kaunti ya Kiambu wamepitisha kura ya kumwondoa mamlakani Gavana Ferdinand Waititu Baba Yao kwa matumizi...

Mashahidi 68 kuitwa katika kesi inayomkabili Waititu

Na RICHARD MUNGUTI MKURUGENZI wa Mashtaka ya Umma (DPP) atawaita mashahidi 68 katika kesi ya ufisadi wa Sh580 milioni inayomkabili...