KFS yawahakikishia wakazi huduma za feri zitarejea mwaka 2022

Na WINNIE ATIENO Huduma za feri ambazo zilisitishwa miezi mitatu iliyopita, zitarajea baada ya serikali kumaliza ukarabati wa sehemu ya...

Wavukaji feri kuendelea kulipia kupitia kwa Mpesa

Na PHILIP MUYANGA WATUMIAJI wa kivuko cha feri cha Likoni, Kaunti ya Mombasa, wataendelea kulipia ada za kuvuka kupitia kwa Mpesa hadi...

Agizo Shirika la Huduma za Feri lifidie kampuni Sh5.2 milioni

Na Philip Muyanga SHIRIKA la Huduma za Feri nchini (KFS) limo hatarini kupoteza baadhi ya mali zake kwa mnada baada ya kushindwa...

Maseneta wakosoa Joho kuhusu matumizi ya feri

Na WINNIE ATIENO MASENETA wawili kutoka kaunti za Pwani wameishtumu serikali ya kaunti ya Mombasa kwa kushurutisha zaidi ya watu 300,000...

Daraja la Liwatoni lazidisha hatari ya kuenea kwa corona

Na WINNIE ATIENO MPANGO uliotajwa kuwa wa kuzuia maambukizi ya Covid-19 jijini Mombasa umegeuka kuwa tisho kubwa zaidi la kueneza janga...

Kilio Kaunti ya Mombasa kuamuru wakazi watumie daraja jipya badala ya feri

Na WINNIE ATIENO Vurugu zinatarajiwa leo katika kivukio cha Likoni baada ya kamati ya dharura ya kudhibiti maambukizi ya Covid-19 kaunti...

Hofu ya msongamano feri mpya ikiharibika Likoni

Na MOHAMED AHMED HUENDA huduma katika kivuko cha Likoni zikatatizika baada ya feri mpya ya Mv Safari ambayo ni miongoni mwa zile kubwa...

Kanuni kali kudumishwa ferini hata baada ya virusi

Na MISHI GONGO SERIKALI inapanga kudumisha kanuni kali zinazotekelezwa katika kivukio cha feri Likoni, Kaunti ya Mombasa, zitadumishwa...

Feri mpya yawasili Mombasa

Na MISHI GONGO FERI mpya; MV Safari iliyotengenezwa nchini Uturuki na iliyogharimu serikali Sh1 bilioni imewasili nchini baada ya kutia...

Abiria kunyunyiziwa dawa kabla ya kuabiri feri

Na DIANA MUTHEU MAELFU ya abiria wanaotumia kivuko cha Likoni katika Kaunti ya Mombasa, watakuwa wakinyunyiziwa dawa ya kuua viini...

CORONA: Huduma za feri kusimamiwa na polisi

Na MOHAMED AHMED RAIS Uhuru Kenyatta ameamrisha jeshi la baharini pamoja na maafisa wa polisi kuchukua usukani wa huduma za kivuko cha...

Shida kivukoni kufuatia feri 2 kuondolewa

Na MOHAMED AHMED MAELFU ya watumizi wa feri katika kivuko cha Likoni wanatarajiwa kupambana na msongamano mkubwa kufuatia kuondolewa kwa...