Kenya yaamua kusubiri Fifa itoe marufuku ya soka nchini

Na JOHN ASHIHUNDU WAZIRI wa Michezo Amina Mohamed ameanza mazungumzo na Shirikisho la Kimataifa la Soka (Fifa), lakini amesisitiza...

Fifa yaruhusu timu kuanza mapema usajili wa wachezaji wapya

Na MASHIRIKA ZURICH, Uswisi SHIRIKISHO la Soka Duniani (FIFA) limeruhusu timu kuanza shughuli za kusajili wachezaji wapya hata kabla...

FKF, FIFA waafikiana jinsi Amrouche atakavyolipwa zaidi ya Sh109 milioni

Na CHRIS ADUNGO HARAMBEE Stars sasa watashiriki mchujo wa kufuzu kwa fainali za Kombe la Dunia za 2022 nchini Qatar baada ya Shirikisho...

AMROUCHE: Kenya yakodolea macho marufuku kutoka kwa Fifa

Na GEOFFREY ANENE SHIRIKISHO la Soka Duniani (FIFA) linatarajiwa kuandaa kikao nchini Uswisi leo Jumatatu kutoa uamuzi wa mwisho kuhusu...

Wito klabu zitengewe asilimia kubwa mgao wa fedha za Fifa

Na CHRIS ADUNGO HUKU kila mojawapo ya mashirikisho ya soka duniani yakitarajiwa kupokea kima cha Sh50 milioni kutokana na mgao wa...

Fifa yapendekeza timu ziruhusiwe kubadilisha wachezaji watano badala ya watatu katika kila mechi

Na CHRIS ADUNGO SHIRIKISHO la Soka Duniani (FIFA) limependekezea klabu kuchezesha hadi wachezaji watano wa akiba katika hatua ambayo...

Msimamo wa viwango vya soka kimataifa wakati wa corona

Na CHRIS ADUNGO HUKU mashindano ya soka yakiwa yamesitishwa kwa muda duniani kote kutokana na virusi vya corona, hakuna mabadiliko...

Mjeledi wa FIFA wachapa, mataifa yatozwa mamilioni

Na MASHIRIKA SHIRIKISHO la Soka Duniani (FIFA) limetoza mashirikisho ya soka ya Hong Kong, Indonesia, Sierra Leone na Sudan jumla ya...

Kenya yatuama katika nafasi ya 107 Fifa

Na JOHN ASHIHUNDU KENYA imebakia katika nafasi ya 107 duniani, kulingana na orodha ya viwango vya Shirikisho la Kimataifa la Soka (Fifa)...

VIWANGO BORA FIFA: Kenya nambari 105 duniani

Na GEOFFREY ANENE HARAMBEE Stars ya Kenya imepanda nafasi tatu kutoka 108 hadi 105 kwenye viwango bora vya soka duniani vya FIFA...

Fifa kuipa Kenya Sh100 milioni kuinua soka ya vipusa

Na GEOFFREY ANENE SHIRIKIKISHO la Soka la Kenya (FKF) limefichua kwamba Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) linapanga kuipa Sh101,210,000 za...

Orodha ya wanaowania tuzo za FIFA

Na GEOFFREY ANENE MWANASOKA bora duniani wa mwaka 2018 atajulikana kutoka orodha ya Cristiano Ronaldo, Luka Modric na Mohammed Salah...