Serikali yawataka wazazi kuwakataza watoto kutazama Squid Game

Na WANGU KANURI SERIKALI kupitia Bodi ya Kusimamia na Kukadiria Uainishaji wa Filamu nchini (KFCB)  imewashauri wazazi kuwakataza watoto...

Rufina (Mama Silas) aelezea safari yake ya uigizaji

Na JOHN KIMWERE Ni mwanabiashara na miongoni mwa waigizaji waliovumisha kipindi cha Maria kilichozoa umaarufu sio haba ndani ya mwaka...

NEOLIN MOMANYI: Hongera NMG kwa kujitolea kuangazia masuala ya wasanii

Na JOHN KIMWERE MWANZO wa ngoma kila mja hujipa matumaini ambapo huwa ni hali ya kutarajia. Ni katika kutumainia na kuvumilia ambapo ana...

JOY KINYUA: Serikali ipige jeki uigizaji nchini

Na JOHN KIMWERE NI miongoni mwa wasanii wa kike wanaozidi kuvumisha tasnia ya filamu nchini. Ingawa amehitimu kama mwana habari wa...

Waigizaji wa Ukombozi Film wanavyonoa vipaji vya watoto Mombasa

NA ABDULRAHMAN SHERIFF NI kipindi cha mwaka mmoja na miezi minane pekee tangu kianzishwe, kikundi cha wasanii cha Ukombozi Film, Mombasa...

Mtambue ‘Madam Vicky’ wa kipindi cha ‘Maria’

Na JOHN KIMWERE NI mwanamitindo wa muda mrefu na miongoni mwa waigizaji wanaovumisha kipindi cha Maria ambacho hupeperushwa kupitia...

Sababu za kudhibiti filamu wanazotazama watoto

Na SAMMY WAWERU Ni jambo la kuhuzunisha familia kupoteza watu watano kwa wakati mmoja, kupitia kitendo cha ukatili. Juma lililopita,...

BOSIBORI KOROSO: Natamani kuwa mwanamuziki mtajika Kenya

Na JOHN KIMWERE NI ndoto ya kila msanii kuona anaimarika katika sanaa yake na kutambulika kote duniani. Berin Bosibori Koroso haachwi...

NATASHA NJOKI: Filamu ya ’12 Years A Slave’ imenivutia sana

NA JOHN KIMWERE ANAAMINI anacho kipaji cha kufanya vizuri katika tasnia ya uigizaji na kunasa tuzo za kimataifa kama Oscars na Grammys...

MITCHELL WAMBUI: Waliobobea kwa filamu wainue waigizaji chipukizi

Na JOHN KIMWERE UKWELI wa mambo ni kwamba wahenga waliposema penye nia pana njia hawakupaka mafuta kwenye mgongo wa chupa, maana ndivyo...

TERESIA NJOKI: Ubunifu ni muhimu katika uigizaji

Na JOHN KIMWERE  ANAHIMIZA wenzie wawe wabunifu katika sekta ya usanii pia wajitume kwenye gemu ili kukomesha kasumba ya kuketi kijiwe...

ZULEKHA AKINYI: Mpango mzima ni kufikia upeo wa Queen Latifah katika uigizaji

NA JOHN KIMWERE, NAIROBI 'MTAKA cha mvunguni sharti ainame.' Ndivyo wahenga walivyosema na tangia zama hizo ndivyo ilivyo hadi sasa. Ni...