UDA walalama Ford Kenya inawahujumu

NA BRIAN OJAMAA WAWANIAJI wa viti tofauti kwa tiketi ya chama cha United Democratic Alliance (UDA) kaunti ya Bungoma, wanamuomba Naibu...

Wetang’ula apuuza Eseli mzozo ukitokota Ford- Kenya

Na BRIAN OJAMAA MZOZO wa uongozi ndani ya chama cha Ford- Kenya bado haujazimwa baada ya kiongozi wa chama hicho, Bw Moses Wetang’ula...

Ford Kenya yakanusha kufanya mazungumzo ya 2022 na Dkt Ruto

Na ONYANGO K'ONYANGO VIONGOZI wa chama cha Ford Kenya wamekanusha madai kwamba, wanafanya mazungumzo ya siri na Naibu Rais William Ruto...

Vita vya ubabe kati ya gavana, Wetang’ula mazishini

Na BRIAN OJAMAA VITA vya ubabe kati ya Gavana wa Bungoma Wycliffe Wangamati na Seneta Moses Wetang’ula viliendelea kushamiri mwishoni...

Simba wa Ford Kenya anguruma Kabuchai

Na CHARLES WASONGA CHAMA cha Ford Kenya kimehifadhi kiti cha ubunge cha Kabuchai baada ya kuandikisha ushindi mkubwa katika uchaguzi...

Wetang’ula apinga mkutano wa Ford Kenya ulioitishwa na Eseli

Na Cecil Odongo MZOZO wa uongozi ndani ya Chama cha Ford-Kenya unaendelea kutokota baada ya mrengo unaoongozwa na Seneta wa Bungoma...

2022: Ford-Kenya yamkemea Eugene

Na BENSON MATHEKA CHAMA cha Ford Kenya kimemkemea waziri wa Ugatuzi Eugene Wamalwa kwa kusema kuwa atahakikisha kitashirikiana na chama...

Ford-Kenya, ANC kuanza mikutano ya Ruto magharibi

Na BENSON AMADALA VYAMA vya Amani National Congress (ANC) na Ford-Kenya vimepanga msururu wa mikutano kuanzia leo na wandani wa Naibu...

Weta kuadhibu waliobadilisha uongozi chamani

BENSON MATHEKA na RICHARD MUNGUTI CHAMA cha Ford Kenya kimebuni kamati itakayoamua hatua kitakachochukulia maafisa waliojaribu kufanya...

Mzozo watokota ngazi ya juu uongozi wa Ford-Kenya

Na RICHARD MUNGUTI MZOZO wa uongozi wa chama cha Ford-Kenya umetokota Jumatano baada ya jopo la kuamua mizozo ya vyama vya kisiasa...

Viongozi wa vyama kadhaa nchini Kenya waendelea kubamizwa ukutani

Na SAMMY WAWERU BAADHI ya wanachama wa Amani National Congress, ANC, wameanza kuitisha uchaguzi mpya wa uongozi wa chama hicho. Bw...

Vita vya Ford Kenya vyatua kwa Msajili wa Vyama

Na DAVID MWERE VITA vya uongozi katika chama cha Ford Kenya huenda sasa vikaelekea kwa Jopo la Kutatua Mizozo ya Vyama vya...