Uholanzi wacharaza Austria na kuingia 16-bora kwenye fainali za Euro

Na MASHIRIKA UHOLANZI walitinga hatua ya 16-bora kwenye kivumbi cha Euro baada ya kuchabanga Austria 2-0 katika mchuano wa Kundi C...

Uholanzi wakanyaga Ukraine 3-2 kwenye Euro

Na MASHIRIKA MWANASOKA Denzel Dumfries alifunga bao katika dakika za mwisho na kusaidia Uholanzi kuwapepeta Ukraine 3-2 katika mechi ya...

Uholanzi wajinyanyua na kutandika Latvia 2-0 katika mechi ya kufuzu Kombe la Dunia

Na MASHIRIKA UHOLANZI waliweka kando maruerue ya kupigwa 4-2 na Uturuki katika mchuano wao wa ufunguzi wa Kundi G kwa kuwatandika Latvia...

Kocha Frank de Boer apoteza mechi yake ya kwanza akidhibiti mikoba ya timu ya taifa ya Uholanzi

Na MASHIRIKA KOCHA Frank de Boer alipoteza mechi yake ya kwanza akiwa kocha wa timu ya taifa ya Uholanzi. Hii ni baada ya...