Lampard aongoza Everton kupepeta Brentford bila huruma katika Kombe la FA

Na MASHIRIKA KOCHA mpya wa Everton, Frank Lampard, alianza kazi ugani Goodison Park kwa matao ya juu baada ya kuongoza waajiri wake...

Everton wateua Frank Lampard kuwa kocha wao mpya

Na MASHIRIKA KOCHA wa zamani wa Chelsea, Frank Lampard, atahudumu ugani Goodison Park kwa miaka miwili na nusu ijayo baada ya kukubali...

Lampard ajiondoa kwenye kivumbi cha kuwa kocha mpya wa Norwich City

Na MASHIRIKA FRANK Lampard amejiondoa katika mbio za kuwa mrithi wa kocha Daniel Farke kambini mwa Norwich City. Sogora huyo wa...

Chelsea wamtimua kocha Frank Lampard baada ya miezi 18

Na MASHIRIKA CHELSEA wamemfuta kazi kocha Frank Lampard, 42, baada ya kudhibiti mikoba yao kwa kipindi cha miezi 18 pekee. Nafasi ya...

Shevchenko, Allegri pazuri zaidi kutua Chelea endapo kocha Frank Lampard atatimuliwa

Na MASHIRIKA CHELSEA wamefichua mpango wa kumwajiri mwanasoka wao mwingine wa zamani Andriy Shevchenko kuwa kocha iwapo matokeo yao...

Lampard alia Chelsea walinyimwa penalti katika sare tasa waliyosajili dhidi ya Manchester United ligini

Na MASHIRIKA KOCHA Frank Lampard ameshikilia kwamba kikosi chake cha Chelsea kilistahili kupokezwa penalti baada ya beki Cesar...

Kocha Frank Lampard aeleza jinsi ujuzi unavyomfaidi

Na MASHIRIKA LONDON, Uingereza KOCHA Frank Lampard wa Chelsea amefichua jinsi ujuzi wake wa muda mrefu unavyomsaidia katika majukumu...

Chelsea yakubali ombi la Kante kutorejea kambini kwa minajili ya mechi za EPL zilizosalia msimu huu

Na CHRIS ADUNGO CHELSEA wamemkubalia sogora N’Golo Kante kutojisumbua kurejea katika kambi ya mazoezi ya Cobham, Uingereza baada ya...