Tutasaidia IEBC kuendesha uchaguzi huru na haki – Matiang’i

Na WYCLIFFE NYABERI WAZIRI wa Usalama wa Ndani, Dkt Fred Matiang'i, amesema serikali itasaidia Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC),...

Matiang’i aweka mikakati kuzima visa vya wafungwa kutoroka jela

Na CHARLES WASONGA ASKARI jela saba wa gereza la Kamiti wamakamatwa kufuatia kisa ambapo wafungwa watatu walitoroka kutoka gereza hilo...

Wahalifu mtandaoni kuchukuliwa hatua – Matiang’i

Na WINNIE ONYANDO WALE watakaoeneza habari za uongo na zinazochochea chuki mtandaoni sasa wataadhibiwa vikali. Hii ni baada ya...

Matiang’i ajibu madai ya wandani wa Dkt Ruto kuhusu maandalizi ya uchaguzi

Na CHARLES WASONGA WAZIRI wa Usalama Fred Matiang’i amejitetea dhidi ya madai ya wandani wa Naibu Rais William Ruto kwamba yeye na...

Matiang’i atisha kufunga vyombo vya habari vinavyotumika kueneza chuki

Na ERIC MATARA SERIKALI imetishia kuvifunga vyombo vya habari vinavyotumika kueneza chuki huku kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Agosti 9,...

Matiang’i atangaza ataunga Raila 2022

Na WYCLIFFE NYABERI WAZIRI wa Usalama wa Kitaifa, Fred Matiang’i jana Ijumaa aliashiria kuwa Rais Uhuru Kenyatta anaunga mkono kinara...

Matiang’i chini ya ulinzi mkali

Na STEVE NJUGUNA WAZIRI wa Usalama, Dkt Fred Matiang’i alishuhudia madhila yanayowakumba wakazi wa eneo la Ol Moran, majangili...

Mshirika wa Ruto ni mhalifu, asema waziri Matiang’i

Na CHARLES WASONGA HATIMAYE serikali imetoa taarifa kuhusu kufurushwa kwa Mturuki ambaye ni mshirika wa Naibu Rais William Ruto, Harun...

Serikali yaendelea kuibua madai dhidi ya Harun Aydin

Na SAMMY WAWERU WAZIRI wa Usalama wa Ndani Dkt Fred Mating’i amepuuzilia mbali madai kuwa serikali ya Kenya imeomba msamaha Uturuki...

Waziri atangaza Sikukuu Jumanne Waislamu wakiadhimisha Idd-ul-Adha

Na MARY WANGARI WAISLAMU watasherehekea Sikukuu ya Idd-ul-Adha Jumanne baada ya Waziri wa Usalama wa Ndani, Dkt Fred Matiang’i...

Matiang’i aahidi kukomesha utekaji nyara nchini

Na NDUNGI MAINGI Waziri wa Usalama wa Ndani, Dkt Fred Matiang’i, ameahidi kukabiliana na visa vya utekaji nyara ambavyo vimeongezeka...

Kafyu kuendelea kwa siku 60 zaidi

Na LEONARD ONYANGO MARUFUKU ya kutokuwa nje kati ya saa 4.00 usiku na saa 10.00 alfajiri itaendelea hadi Julai 27. Kupitia Gazeti...