Maskini jeuri wakataa chakula kwa sababu ya siasa

Na MAUREEN ONGALA WAKAZI wa eneobunge la Ganze, Kaunti ya Kilifi, walisusia chakula cha msaada walichopelekewa na Gavana Amason Kingi...

Tumaini shirika la Ubelgiji likifadhili uchimbaji kisima eneobunge la Ganze

Na ALEX KALAMA WAKAZI wa eneo la Kavunzoni, Kaunti ya Kilifi wana matumaini kwamba tatizo la uhaba wa maji ambalo limewakumba kwa miaka...

Hasara, hofu ndovu wakivivamia vijiji

Na MAUREEN ONGALA WAKAZI wa Ganze na Magarini, Kaunti ya Kilifi wanaendelea kuishi kwa hofu baada ya ndovu kuvamia vijiji katika maeneo...

Mbunge akejeli wenzake kwa kumpigia debe Ruto

Na KAZUNGU SAMUEL MBUNGE wa Ganze katika Kaunti ya Kilifi Bw Teddy Mwambire Jumamosi aliwakashifu wabunge wenzake ambao wameanza...