Ajenti wa Bale achemkia mashabiki wa Real madrid kwa kudharau mteja wake

Na MASHIRIKA AJENTI wa Gareth Bale, Jonathan Barnet, amekashifu mashabiki wa Real Madrid kwa kumkejeli staa huyo.Barnet amesema hajali...

Gareth Bale afunga bao lake la kwanza la La Liga tangu Septemba 2019

Na MASHIRIKA REAL Madrid na Levante walitoshana nguvu katika mechi ya Ligi Kuu ya Uhispania (La Liga) iliyokamilika kwa mabao 3-3 mnamo...

Real Madrid na AC Milan nguvu sawa huku Bale akipoteza penalti

Na MASHIRIKA GARETH Bale alikuwa sehemu sehemu ya kikosi kilichowajibishwa na kocha Carlo Ancelotti wa Real Madrid dhidi ya AC Milan mnamo...

Wales na Albania waambulia sare tasa kwenye mechi ya kupimana nguvu

Na MASHIRIKA TIMU ya taifa ya Wales waliambulia sare tasa dhidi ya Albania katika mchuano wa kirafiki uliowakutanisha Jumamosi kwa...

Bale ashiba sifa za kocha Mason baada ya kufungia Spurs mabao matatu dhidi ya Sheffield United ligini

Na MASHIRIKA NYOTA Gareth Bale alipachika wavuni mabao matatu na kusaidia Tottenham Hotspur kuwaponda Sheffield United 4-0 katika mechi...

Mpango wangu ni kurejea Real Madrid na kufikisha usogora wangu katika kiwango cha juu zaidi – Gareth Bale

Na MASHIRIKA GARETH Bale amesema kwamba mipango yake kitaaluma ni kurejea kambini mwa Real Madrid kuendeleza usogora wake katika kiwango...

Bale na Kane waongoza Tottenham kuwateremkia Crystal Palace katika EPL

Na MASHIRIKA GARETH Bale na Harry Kane walifunga mabao mawili kila mmoja na kusaidia kikosi chao cha Tottenham Hotspur kuwapepeta...

Bale na Ramsey warejea katika kikosi cha Wales kwa mechi tatu zijazo dhidi ya USA, Jamhuri ya Ireland na Finland

Na MASHIRIKA GARETH Bale amerejea katika timu ya taifa ya Wales kwa minajili ya mechi tatu zijazo zitakazosimamiwa na kocha msaidizi wa...

Mourinho sasa halali akitamani Bale arejee uwanjani

Na MASHIRIKA KOCHA Jose Mourinho amekiri kwamba hana uhakika kuhusu wakati ambapo sajili mpya Gareth Bale atarejea uwanjani kusakata...

Newcastle United kufungulia mifereji ya fedha kumsajili Gareth Bale

Na CHRIS ADUNGO NEWCASTLE United wapo tayari kuweka mezani kiasi cha Sh8 bilioni ili kujinasia huduma za fowadi matata wa Real Madrid na...

Bale kujiondoa Madrid akipata mwanya

Na MASHIRIKA MADRID, Uhispania MSHAMBULIAJI matata Gareth Bale wa Real Madrid ameeleza kukasirishwa na kuchoshwa kwake kama sababu ya...

GUMZO LA SPOTI: Real Madrid yamzuia Bale kuenda China

Na MASHIRIKA TUMAINI la Gareth Bale kutafuna mabilioni ya China limezimwa na waajiri wake Real Madrid ambao kwa sasa wamesema...