Viongozi wasifu wakazi wa Garissa kwa urithi wa Haji

Na WACHIRA MWANGI BARAZA la Maimamu na Wahubiri nchini (CIPK) limepongeza hatua ya wazee katika Kaunti ya Garissa kwa kumteua seneta...

Abdul Haji afuata nyayo za waliorithi jamaa zao kisiasa

Na NYAMBEGA GISESA ALIPOWEKA maisha yake hatarini kwa kuingia ndani ya Jumba la Kibiashara la Westagate, Nairobi, 2013 kuokoa watu...

Aliyetekeleza shambulizi Chuo cha Garissa ajinyonga selini

Na MARY WAMBUI RAIA wa Tanzania Rashid Charles Mberesero aliyehukumiwa kifungo cha maisha mwaka 2019 baada ya kupatikana na hatia ya...

Ujenzi wa soko la kisasa Garissa wakaribia kukamilika

NA FARHIYA HUSSEIN UJENZI wa soko la kisasa katika Kaunti ya Garissa umefikia asimimia 75, amesema Waziri wa Ardhi katika kaunti hiyo...

NZIGE NA MAFURIKO: Wakulima Garissa kufadhiliwa na serikali ya kitaifa na ya kaunti

Na FARHIYA HUSSEIN ZAIDI ya wakulima 30 katika Kaunti ya Garissa watafaidika wakisubiri kufadhiliwa na Serikali ya Kitaifa na Kaunti...

Wafanyabiashara wanawake wawanyooshea kidole cha lawama maafisa wa usalama Garissa

Na FARHIYA HUSSEIN WANAWAKE zaidi ya 50 waliandamana Alhamisi katika Kaunti ya Garissa wakilalamika kuwa maafisa wa usalama wanaua...

Kaunti ya Garissa matatani kwa kutolipa wakandarasi pesa zao kwa miaka saba

Na FARHIYA HUSSEIN SERIKALI ya Kaunti ya Garissa imejipata matatani kwa kutolipa wakandarasi pesa zao kwa miaka saba ambazo ni...

Kaunti ya Garissa kuwaajiri wahudumu wa afya maeneo yanayokabiliwa na upungufu

Na FARHIYA HUSSEIN KAUNTI ya Garissa inapanga kuwaajiri maafisa wa afya kwa maeneo yanayokabiliwa na upungufu. Akiongea katika ofisi...

Wanafunzi wa vyuo vya ufundi Garissa waanzisha mradi wa utengenezaji barakoa

Na FARHIYA HUSSEIN WANAFUNZI katika vyuo vya ufundi Kaunti ya Garissa wameanzisha mpango wa utengenezaji barakoa kusaidia katika...

Mama ajifungua katika kambi alikotafuta hifadhi mafuriko yakiendelea Garissa

Na FARHIYA HUSSEIN MWANAMKE mmoja amejifungua katika kambi alikotafuta hifadhi Kaunti ya Garissa baada ya kupoteza makazi yake kufuatia...

Polisi wafyatuliana risasi na washukiwa wa al-Shabaab Garissa

Na FARHIYA HUSSEIN POLISI na wanaoshukiwa kuwa wapiganaji wa al-Shabaab walifyatuliana risasi Kaunti ya Garissa baada ya gari la maafisa...

Raila anyakua kazi ya Ruto

Na VALENTINE OBARA KIONGOZI wa Chama cha ODM, Bw Raila Odinga amezidi kuibua maswali kuhusu mamlaka aliyo nayo katika serikali...