Wazee wa Gema wamkaidi Uhuru

Na MWANGI MUIRURI WAZEE wa jamii za Gikuyu, Embu na Meru (Gema), wamepinga mpango wa kuvunja muungano huo na nafasi yake kuchukuliwa na...

Mlima Kenya waraiwa kuikaribisha Akamba katika Gema

Na WANDERI KAMAU JAMII za Mlima Kenya zimeraiwa kuiunga mkono kisiasa jamii ya Akamba kwa kuikaribisha tena kwenye ubinamu wa jamii za...

JAMVI: Uhuru pabaya kwa kusahau baadhi ya maeneo ya Gema katika uteuzi wake

Na WANDERI KAMAU Kwa Muhtasari: Mirengo mitatu inang’ang’ania ushirikishi zaidi wa kisiasa serikalini, hasa baada ya wanasiasa...