KAULI YA MATUNDURA: Wataalamu wa Kiswahili wamuenzi galacha, mwalimu na mlezi wa wengi Prof Ireri Mbaabu

Na BITUGI MATUNDURA JUMA lililopita, hafla mbalimbali za kumuenzi na kumsherehekea mwalimu wa wengi – Prof George Ireri Mbaabu...