Msanii Omar Blondin Diop alivyoteswa akipigania haki za raia wa Senegal

NA FLORIAN BOBIN Maisha ya mwanaharakati na msanii wa Senegal Omar Blondin Diop, aliyeuawa mwaka 1973 kwa kupigwa risasi chini ya...

Covid-19: Kisa cha kwanza Embu charipotiwa gerezani

NA MWANDISHI WETU Huku janga la corona likiendelea kuenea kila siku, kisa cha kwanza gerezani kimeripotiwa. Mahabusu mmoja katika...

ONYANGO: Idadi kubwa ya vijana waliopo magerezani inashtua sana

Na LEONARD ONYANGO RIPOTI kuhusu Hali ya Uchumi ya 2019 iliyotolewa na Shirika la Takwimu nchini (KNBS) wiki iliyopita , inafaa kushtua...

Msaada kwa wanawake wa gereza la Thika

Na LAWRENCE ONGARO WANAWAKE walio na watoto wachanga gerezani nchini wamekuwa wakikosa msaada wa dharura kutokana na mazingira ya...

Gharama ya kuendesha magereza kupunguzwa

Na LUCAS BARASA SERIKALI Jumatano inatarajiwa kutia saini mwafaka unaolenga kupunguza gharama ya kuendesha magereza ya humu nchini na...

Aiba gari dakika chache baada ya kuwachiliwa kutoka jela

MASHIRIKA na PETER MBURU TOPEKA, KANSAS MWANAMUME kutoka Kansas alikamatwa punde tu baada ya kuachiliwa kutoka gerezani, kwa kuiba gari...

KURUNZI YA PWANI: Changamoto za ulezi kwa wafungwa wa kike gereza la Shimo la Tewa

WINNIE ATIENO na DIANA MUTHEU MNAMO Februari 27 mwaka 2017, Celine Ong’ayo Emali alimwadhibu na kumjeruhi vibaya mwanawe kwa kile...