Kushuka kwa bei ya mafuta hakujapunguza gharama ya maisha

Na LEONARD ONYANGO KWA kipindi cha miezi miwili sasa, Wakenya wamekuwa wakinunua mafuta kwa bei ya chini kuliko ilivyo kawaida. Kwa...

Bei za bidhaa kupanda zaidi licha ya serikali kuahidi afueni

Na PAUL WAFULA SERIKALI imependekeza kuongeza bei ya mkate, maziwa, gesi ya kupikia, dawa, petroli miongoni mwa bidhaa nyingine muhimu...

Krismasi ya msoto

Na VALENTINE OBARA CHANGAMOTO tele zilizowakumba Wakenya mwaka huu zimefanya wengi wakose mpango wa kufurahia sherehe za Krismasi...

Yafichuka wafanyakazi wa serikali wanafilisisha nchi

Na PAUL WAFULA WATUMISHI wa umma wanaendelea kufyonza nchi kupitia marupurupu wanayodai kila mwezi kwa kazi waliyoajiriwa kutekeleza...

Hatari zawakodolea raia macho kutoka pande zote

Na VALENTINE OBARA MBALI na kukabiliwa na hatari ya magonjwa yanayosababishwa na kula vyakula vyenye sumu, Wakenya pia wanakumbwa na...

Rais alaumiwa kuyumbisha nchi

Na BERNADINE MUTANU IDADI kubwa ya Wakenya wanamlaumu Rais Uhuru Kenyatta kwa kupeleka nchi mkondo mbaya, utafiti...

AJIRA: Mwiba wa kujichoma unavyoitesa serikali

Na LEONARD ONYANGO TANGAZO la Serikali mnamo Jumanne kuwa kuanzia Julai itaajiri wafanyikazi wake kwa kandarasi ili kubana matumizi...

MAFUTA: Gharama ya maisha kupanda zaidi

Na BERNARDINE MUTANU WAKENYA wanatarajiwa kukumbana na hali ngumu ya maisha kwa kipindi cha mwezi mmoja ujao, baada ya Tume ya...

Wataalamu wataka marekebisho kabla ya 2022

Na RUSHDIE OUDIA WATAALAMU katika fani mbalimbali wametaja ufisadi, gharama ya juu ya kuendesha uchaguzi na usimamizi mbaya kama baadhi...

Hali ngumu zaidi baada ya bei ya mafuta kupanda tena

Na VALENTINE OBARA WAKENYA watazidi kukumbwa na hali ngumu ya maisha na hata kulemewa zaidi baada ya bei ya mafuta kuongezeka kwa kiasi...

Wakenya hawataki mzigo zaidi – Utafiti

Na PETER MBURU WAKENYA wengi hawataki kuongezewa mzigo wa uongozi kwenye kura ya maamuzi, asilimia kubwa wakipendekeza baadhi ya viti...

Wakenya waliteseka 2018, watarajia hali bora 2019

NA LILYS NJERU JAPO mwaka uliopita wa 2018 ulikuwa na changomoto chungu nzima kwa wananchi, Wakenya wengi mwaka huu wa 2019 wameomba...