Wahanga wa ghasia za 2007 wafidiwe kabla ya Uhuru kutoka mamlakani

Na CHARLES WASONGA HUKU Rais Uhuru Kenyatta akikamilisha muhula wake wa mwisho asije akasahau kwamba kuna baadhi ya wahanga wa ghasia za...