Wazee watangaza kuhubiri amani 2022

Na KNA BARAZA la Wazee katika Kaunti ya Mombasa limejitolea kuhubiri amani na kutoa ushauri kwa wananchi na wanasiasa kuhusu umuhimu wao...

Ni kubaya 2022!

Na WAANDISHI WETU GHASIA zilizotawala chaguzi ndogo zilizoandaliwa jana zimetoa taswira hatari na ya kutisha huku uchaguzi mkuu wa 2022...

Fujo, hongo kwenye uchaguzi mdogo Nakuru

NA ERIC MATARA WANAHABARI watatu wamepata majeraha kwenye ghasia ambazo zimeshuhudiwa Alhamisi asubuhi katika kituo cha kupigia kura cha...

Vijana walipanga kuvuruga hafla za Ruto – Polisi

Na MWANGI MUIRURI MAAFISA wa usalama katika eneo la Kati walizima njama tano za kuzua fujo wakati wa ziara ya Naibu Rais William Ruto...

Ghasia katika kampeni za UDA

JOSEPH OPENDA na FRANCIS MUREITHI KAMPENI za chama cha United Democratic Alliance (UDA) katika uchaguzi mdogo wa udiwani katika wadi ya...

WANDERI KAMAU: Tukumbuke amani ni deni tutajilipia sisi wenyewe

Na WANDERI KAMAU KUFUATIA ghasia za kikabila zilizoshuhudiwa nchini kati ya 1991 na 1992, marehemu Daniel Moi aliteua tume maalum...

LEONARD ONYANGO: Rais aingilie kati, azime joto kali la kisiasa nchini

Na LEONARD ONYANGO MATUKIO ya hivi karibuni ambapo makundi ya vijana yamekuwa yakivuruga mikutano ya wanasiasa wakuu kwa kurusha mawe,...

Fujo Tanzania upinzani ukipinga matokeo

Na THE CITIZEN GHASIA zilizuka na watu kadhaa wakakamatwa katika maeneo ambayo viongozi wa upinzani na wafuasi wao walikataa matokeo ya...

Yaibuka vijana waliotumika kupanga ghasia za Kenol waliahidiwa Sh500

NA FAUSTINE NGILA VIJANA waliotumiwa na wanasiasa wa mirengo ya Tangatanga na Kieleweke mjini Kenol, Kaunti ya Murang'a Jumapili...

GHASIA ZA MURANG’A: Mutyambai aonya wanasiasa

Na CHARLES WASONGA INSPEKTA Jenerali wa Polisi Hillary Mutyambai Jumapili alitoa onyo kali kwa wanasiasa akiwataka kukosa kuchochea fujo...

Sabina Chege lawamani kuhusu ghasia na kifo Murang’a

Na CHARLES WASONGA MBUNGE wa Kiharu Ndindi Nyoro amedai kuwa wanasiasa kadha kutoka Murang’a wakiongozwa na Mbunge Mwakilishi wa...

Wakenya bado mateka kisiasa

Na WAANDISHI WETU MATUKIO ya wananchi kufuata wanasiasa kikondoo kwa kiasi cha kushambuliana hadharani, yameanza kuibuka huku wanasiasa...