Meneja aliyeghushi vyeti atafune mamilioni abubujikwa na machozi kortini

Na Richard Munguti MENEJA mkuu katika Mamlaka ya Kitaifa ya Usambazaji Stima Mashambani (REA), Ijumaa alisababisha kioja mahakama ya...

Mamlaka kuharibu bidhaa ghushi za thamani ya Sh100 milioni

Na WACHIRA MWANGI MAMLAKA ya Kudhibiti Bidhaa Ghushi (ACA), inatarajiwa kuteketeza bidhaa haramu zenye thamani ya Sh100 milioni...

Mchina ndani kwa kuuza vifaa feki vya corona

Na RICHARD MUNGUTI MKURUGENZI Mkuu wa kampuni moja ya Uchina alishtakiwa Jumatatu kwa kuuza bidhaa feki za kupima ugonjwa wa...

Mmiliki wa kiwanda cha pombe haramu Thika aingia mitini

Na LAWRENCE ONGARO KIWANDA cha pombe ya mvinyo cha African Spirit Distillers Ltd, mjini Thika, Ijumaa kilifungwa uchunguzi dhidi yake...

Bidhaa ghushi za Sh7.5 bilioni zimenaswa, walaghai 75 wamezimwa – Ripoti

NA CECIL ODONGO MISAKO ambayo imekuwa ikiendeshwa na serikali dhidi ya bidhaa ghushi nchini tangu Juni 2018 imenasa bidhaa zenye thamani...

TAHARIRI: Walaghai wasiendelee kukosesha taifa mabilioni

Na MHARIRI UFICHUZI wa Halmashauri ya Kukabiliana na Bidhaa Ghushi Kenya (ACA) kwamba serikali inapoteza Sh200 bilioni kila mwaka...

Bidhaa feki huipotezea serikali Sh200 bilioni – Ripoti

Na WANDERI KAMAU SERIKALI hupoteza Sh200 bilioni kila mwaka kutokana na uingizaji wa bidhaa ghushi nchini. Hii ni licha ya mikakati...

Ongwae anaswa kuhusu mbolea feki, achunguzwa kwa sukari ya sumu

Na CHARLES WASONGA  MKURUGENZI Mkuu wa Shirika la Kukadiria Ubora wa Bidhaa (KEBS) Charles Ongwae Ijumaa alikamatwa kuhusiana na kashfa...

TAHARIRI: Wauzao bidhaa feki ni wauaji, wanyongwe!

Na MHARIRI NI jambo la kusikitisha sana kuwa tamaa ya utajiri wa haraka imewafanya baadhi ya Wakenya kuingiwa na ushetani kiasi cha...

Pabaya kwa kutumia barua feki ya ulemavu kuomba viza ya Amerika

Na BENSON MATHEKA MWANAMUME alishtakiwa Jumanne kwa kutengeneza barua ghushi akidai iliandikwa na baraza la watu walio na ulemavu nchini...

Motoni kwa kughushi ‘payslip’ kuonyesha anapokea mshahara wa mamilioni

Na RICHARD MUNGUTI MWANAUME alishtakiwa Jumtano kwa kujitengenezea stakabadhi ya malipo ya mshahara (payslip) kuonyesha anapokea kitita...

Kasisi akanusha kughushi hati kumiliki hospitali

Na RICHARD MUNGUTI KASISI  kutoka Amerika anayezozania umiliki na usimamizi wa hospitali ya kimisheni ya St Marys Lang'ata ...