Wezi wa mali ya umma tutawatia adabu – Moi

Na SAMMY WAWERU KIONGOZI wa Kanu, Bw Gideon Moi amesema endapo muungano wa One Kenya Alliance (OKA) utatwaa serikali 2022 mojawapo ya...

Gideon Moi awakosha roho mabwanyenye wa Mlima Kenya huku akisihi vinara wenza OKA wamruhusu achumbie ‘mrembo’ Mlimani

Na SAMMY WAWERU KIONGOZI wa KANU Gideon Moi alisababisha waliohudhuria mkutano wa jamii ya wafanyabiashara kutoka Mlima Kenya na vinara...

KANU yamteua Gideon Moi kuwania urais 2022

Na SAMMY WAWERU KIONGOZI wa chama cha KANU Bw Gideon Moi ameteuliwa kupeperusha bendera ya chama hicho kuwania kiti cha urais katika...

Mbunge atumai Gideon Moi atanyaka tiketi ya OKA

Na KNA   MBUNGE wa Tiaty, Bw William Kamket, ana matumaini kwamba kinara wa chama cha KANU, Seneta Gideon Moi wa Baringo, huenda...

Kuzikwa kwa BBI kwageuka pigo kwa Moi Bondeni

Na FRANCIS MUREITHI KUSAMBARATIKA kwa Mpango wa Kubadilisha Katiba (BBI) kumefifisha pakubwa ushawishi wa kisiasa wa mwenyekiti wa Kanu,...

Viongozi wa OKA wataka Moi ataliki Uhuru ajiunge na muungano wao

Na SAMWEL OWINO VIONGOZI wa muungano wa One Kenya Alliance (OKA) wamemtaka kinara wa Kanu, Seneta Gideon Moi kutalikiana na Rais Uhuru...

Hatimaye Moi atangaza kuwania urais 2022

Na WANDERI KAMAU SENETA Gideon Moi wa Baringo hatimaye ametangaza rasmi kuwa atawania urais kwenye uchaguzi mkuu wa 2022. Akihutubu...

Mrengo wa tatu wa kisiasa waibuka Bondeni

Na BARNABAS BII MRENGO wa tatu wa kisiasa umeibuka katika eneo la Kaskazini mwa Bonde la Ufa, hali ambayo imezua mgawanyiko mkubwa baina...

OKA hatarini kuporomoka, Moi adaiwa kumuunga mkono Raila

Na JUSTUS OCHIENG' MGAWANYIKO umeibuka katika Muungano wa One Kenya Alliance (OKA) baada ya viongozi wake kulaumiana kuhusu uhusiano na...

Madiwani 78 wakataa mwaliko wa kukutana na Moi

Na FRANCIS MUREITHI SIASA za ubabe kati ya Naibu Rais Dkt William Ruto na Seneta wa Baringo Gideon Moi zilichangia kutibuka kwa mkutano...

Moi sasa aweka mikakati imara kutua Ikulu 2022

STANLEY KIMUGE na ONYANGO K'ONYANGO KIONGOZI wa chama cha Kanu, Gideon Moi, anaendelea kuweka mikakati maridhawa ili kuhakikisha kwamba...

Kivumbi kikali chaja, wandani wa Gideon waonya mahasimu

Na FRANCIS MUREITHI WANDANI wa Mwenyekiti wa Kanu Gideon Moi sasa wanaonya wapinzani wake kujiandaa kwa ajili ya ushindani mkali katika...