Wafanyabiashara na wachuuzi Githurai walia kudhalilishwa na wahudumu wa tuktuk

Na SAMMY WAWERU WAFANYABIASHARA na wachuuzi katika soko la Jubilee, mtaani Githurai, kiungani mwa jiji la Nairobi wamelalamikia...

Afueni kwa wakazi Githurai 45 barabara zikiendelea kuboreshwa

Na SAMMY WAWERU KWA muda mrefu miundo misingi kama vile barabara katika mtaa wa Githurai 45 viungani mwa jiji la Nairobi imekuwa kikwazo...

Madereva wa tuktuk Githurai waonyesha umoja kuboresha kazi kwa kuchagua mwakilishi wao

Na SAMMY WAWERU MADEREVA wa muungano wa wahudumu wa tuktuk na magari madogo aina ya maruti eneo la Githurai 45 (GTMA) wamefanya uchaguzi...

Raila atarajiwa Githurai kupigia debe BBI

Na SAMMY WAWERU KIONGOZI wa chama cha ODM, Raila Odinga anatarajiwa kuingia Githurai wakati wowote kuanzia sasa leo Jumatano kupigia...

Moto wateketeza mali ya thamani kubwa Githurai

Na SAMMY WAWERU WAFANYABIASHARA wa vifaa vya mbao Githurai wanakadiria hasara kubwa baada ya moto kuteketeza mali yao Ijumaa. Chanzo...

Aporwa mchana peupe mara baada ya kushuka kutoka kwa matatu Githurai

Na SAMMY WAWERU VISA vya uhalifu katika mtaa wa Githurai vimeanza kufufuka, wakazi wakilalamikia kuporwa mchana peupe na...

Afueni baada ya masoko Githurai kufunguliwa

NA SAMMY WAWERU Wafanyabiashara wa masoko ya Githurai wamepata afueni baada ya kuruhusiwa kuendeleza shughuli zao, wiki mbili baada ya...

Ujenzi wa soko la Githurai waanza

Na SAMMY WAWERU UJENZI wa soko la Githurai maarufu kama Jubilee Market na lililoko eneobunge la Ruiru, Kaunti ya Kiambu,...

Msako mkali wa pombe haramu wafanywa Githurai 

Na SAMMY WAWERU MSAKO mkali dhidi ya pombe haramu katika mtaa wa Githurai 44, Kaunti ya Nairobi na Githurai 45 umeanzishwa. Shughuli...