NGILA: Tumia ufadhili wa Google kupiga jeki biashara yako

Na FAUSTINE NGILA IWAPO wewe ni mjasiriamali katika sekta yoyote na unatumia teknolojia, basi huna budi kutabasamu kwa kuwa kampuni ya...

Google taabani kwa kupendelea teknolojia yake katika matangazo ya mitandaoni

Na MARY WANGARI KAMPUNI ya Google huenda ikafanyiwa uchunguzi wa kina zaidi na Umoja wa Uropa (EU) kuhusu teknolojia yake ya matangazo...

Google yaipa Kenya Sh1.1 bilioni ijikwamue baada ya Covid-19 kusababisha uchumi kunywea

Na CHARLES WASONGA na PSCU KAMPUNI ya kiteknolojia ya Google imeipa Kenya Sh1.1 billioni (dola 10 milioni) za kupiga jeki juhudi za...

TEKNOHAMA: Google si daktari, wasema watafiti

Na LEONARD ONYANGO CHAPATI hupikwa vipi? Nawezaje kupata mchumba mwaminifu? Dawa ipi inatibu maumivu ya kichwa? Hayo ni baadhi tu ya...

UBABE: Google yaizima Huawei kutumia huduma za Android na Google Play Store

PETER MBURU na BERNARDINE MUTANU UHASAMA wa kibiashara baina ya Amerika na Uchina kuhusu kampuni ya kutengeneza simu ya Huawei unazidi...

Ataliki mkewe baada ya kumfumania na mpango wa kando kwenye Google Street View

MASHIRIKA na PETER MBURU MWANAMUME mmoja kutoka Peru alipigwa na butwaa ya maisha wakati alimpata mkewe akijiburudisha na mwanaume...

#GoogleWalkOut: Wafanyakazi wagoma kulalamikia dhuluma za kimapenzi ofisini

MASHIRIKA NA PETER MBURU WAFANYAKAZI wa Google Hong Kong na New York walitekeleza mgomo Alhamisi, wakilalamikia tabia ya unyanyasaji na...

#Google4Kenya: Huduma za Kiswahili, boda boda na Street View zazinduliwa

Na FAUSTINE NGILA KAMPUNI ya Google Jumatatu ilitangaza kuwa wapenzi wa lugha ya Kiswahili sasa wana fursa ya kusaka taarifa mitandaoni...

Google sasa yawezesha watumiaji kutuma baruapepe za siri

Na BERNARDINE MUTANU KAMPUNI ya Google imebadilisha mfumo wake wa baruapepe za Gmail, na kuongeza chaguo la kutuma au kupokea ujumbe kwa...

Je, wewe ni mbunifu? Google imetoa Sh200 milioni kushindaniwa

Na BERNARDINE MUTANU Kampuni ya Google imezindua hazina ya kufadhili biashara zisizo za kujifaidisha ya Sh200 milioni. Ufadhili huo...

Twitter yajiunga na Google na Facebook kuharamisha matangazo ya Bitcoin

Na BERNARDINE M UTANU KAMPUNI ya mtandao wa kijamii ya Twitter imepiga marufuku matangazo ya sarafu za siri (cryptocurrency). Kampuni...