Tusker, Gor zalenga ushindi Caf kesho

Na CECIL ODONGO Tusker na Gor Mahia zimesisitiza kuwa zitapigania ushindi katika mechi za mkondo wa kwanza kwenye Kombe la Mashirikisho...

FIFA yagonga Gor kiboko cha miaka 2 kwa sababu ya jeuri

Na CECIL ODONGO KWA mara nyingine, vigogo wa soka nchini Gor Mahia wamejipata pabaya baada ya kuangushiwa marufuku ya kutowasajili...

Gor Mahia kusajili wanasoka wawili zaidi wa kigeni

Na CHRIS ADUNGO MABINGWA mara 19 na washikilizi wa taji la Ligi Kuu ya Kenya, wamemsajili upya beki na nahodha wao wa zamani, Harun...

Masaibu ya Gor Mahia kwenye CAF Champions League

Na CHRIS ADUNGO MATUMAINI finyu ya Gor Mahia kusonga mbele katika kampeni za Klabu Bingwa Afrika (CAF Champions League) msimu huu...

Kocha wa APR aapa kuzima Gor Mahia

Na GEOFFREY ANENE KOCHA Mmoroko Mohamed Erradi Adil amejaa imani kuwa klabu ya APR itakuwa tayari kusambaratisha Gor Mahia katika mechi...

Wachezaji wa Gor hawajalipa kodi kwa miezi 5 – Rachier

 CHRIS ADUNGO WAKILI Ambrose Rachier ambaye ni mwenyekiti wa Gor Mahia, amesema miamba hao wa soka ya humu nchini wanapitia hali ngumu...

Nahodha wa zamani asema Gor itatinga nusu fainali CAF

NA CECIL ODONGO NYOTA wa zamani wa Mabingwa mara 17 wa Ligi Kuu ya Kenya(KPL) Gor Mahia, Jerry Onyango, ameeleza matumaini makubwa ya...

Gor ndio ‘dawa’ ya timu za Kiarabu, wasema mashabiki

NA GEOFFREY ANENE Baada ya kuufanya uwanja wa Kasarani kuwa kichinjio kwa klabu za Zamalek kutoka Misri na Hussein Dey ya Algeria,...

ODONGO: Ni aibu Gor kutumia jezi zilizotiwa viraka mechi za CAF

NA CECIL ODONGO HATUA ya timu ya Gor Mahia kutumia jezi zilizotiwa viraka kuziba nembo ya kampuni ya bahati nasibu ya Sportpesa wakati...

Gor wachupa kileleni KPL

Na GEOFFREY ANENE MABINGWA watetezi Gor Mahia walidumisha rekodi yao ya kutoshindwa na Zoo Kericho hadi mechi tano kwenye Ligi Kuu ya Soka...

Novemba 6, Gor kuchuana na Everton ugani Goodison Park

Na PETER MBURU Mabingwa watetezi wa kandanda humu nchini Gor Mahia watachuana na klabu ya Everton kutoka Uingereza Novemba 6, saa nne...

Gor kunufaika na Sh12m kwa mauzo ya Walusimbi

NA CECIL ODONGO MABINGWA mara 16 wa ligi ya KPL Gor Mahia, watavuna Sh12 milioni kutokanana na mauzo wa aliyekuwa mlinzi wao raia wa...