Huenda Guardiola akose kizibo cha Aguero

Na MASHIRIKA MENEJA wa Manchester City, Pep Guardiola, alieleza kuwa bei ya wachezaji anaotamani huenda ikamkatisha tamaa na kumfanya...

Guardiola ataka EPL irejeshe kanuni ya kuchezeshwa kwa wanasoka watano wa akiba katika mechi moja

Na MASHIRIKA KOCHA Pep Guardiola wa Manchester City amewataka vinara wa Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) kurejesha kanuni mpya ya kuruhusu...

Ishara Guardiola ataungana upya na Messi Barcelona 2021

CHRIS ADUNGO Na MASHIRIKA MFANYABIASHARA Victor Font ambaye anapigiwa upatu kuwa Rais mpya wa Barcelona, amesema kwamba kubwa zaidi...

Pep alenga UEFA

Na CHRIS ADUNGO  KOCHA Pep Guardiola amesema Manchester City watapata hamasa ya kutwaa taji la Klabu Bingwa Ulaya (UEFA) msimu huu baada...

Guardiola asajili beki chipukizi wa Peru

Na CHRIS ADUNGO MANCHESTER City wameafikiana na kikosi cha Alianza Lima kinachoshiriki Ligi Kuu ya Peru kuhusu uhamisho wa beki...

EPL: Guardiola aomba Liverpool ijikwae ili aifikie

NA CECIL ODONGO KOCHA wa mabingwa watetezi wa Ligi Kuu nchini Uingereza Manchester City, Pep Guardiola amewaonya viongozi wa ligi hiyo...

MOKAYA: Bado Guardiola ni mkali kuliko Mourinho

NA JOB MOKAYA Juma lililopita kocha wa Manchester United Jose Mourinho alinyolewa upara bila maji na kocha wa Manchester City baada ya...

Klopp amfunza Guardiola gozi la UEFA

Na CHRIS ADUNGO LIVERPOOL wamejikatia tiketi ya nusu fainali ya UEFA,Klabu Bingwa Ulaya baada ya kuiengua Man City 5-1 kijumla kufuatia...

Lazima tuzime mashambulizi ya Liverpool, asema Guardiola

Na CHRIS ADUNGO MAN City wanaikaribisha Liverpool uwanjani Etihad kujaribu kubadilisha kibao cha ushindi wa 3-0 wa vijana wa Jurgen...

Pep ammiminia sifa tele mvamizi mwiba Aguero

[caption id="attachment_1262" align="aligncenter" width="800"] Sergio Aguero (kushoto) asherehekea na wenzake baada ya kufungia Manchester...