GWIJI WA WIKI: DJ Kezz

NA CHRIS ADUNGO NDOTO ya kuwa mwanamuziki ilianza kumtambalia Keziah Jerono Rachel katika umri mdogo. Mamaye mzazi alimruhusu...

GWIJI WA WIKI: Ali Attas

NA CHRIS ADUNGO ALI Attas ni mwandishi mtajika ambaye alikulia jijini Mombasa. “Mombasa ni kitovu cha maisha yangu. Imenilea kimwili...

GWIJI WA WIKI: Carolyne Wekesa

NA CHRIS ADUNGO CAROLYNE Namulunda Wekesa alilelewa katika kijiji cha Matisi-Liavo, eneo la Kitale, Kaunti ya Trans-Nzoia. Ndiye wa tatu...

GWIJI WA WIKI: Josephat Odipo

NA CHRIS ADUNGO NDOTO ya kuwa mwanahabari ilianza kumtambalia Josephat Odipo akiwa mwanafunzi wa Darasa la Tano. Mazoea ya kusikiliza...

GWIJI WA WIKI: Angie Magio

NA CHRIS ADUNGO ANGIE Magio alikua akitamani kuwa mwanahabari. Wepesi wa ulimi na ufundi wa kusuka maneno ni upekee uliomfanya awe...

GWIJI WA WIKI: Gladys Mungai

NA CHRIS ADUNGO UANAHABARI ni taaluma ambayo Gladys Mungai alianza kuvutiwa nayo katika umri mdogo. Alianza masomo akifahamu thamani...

GWIJI WA WIKI: Bethwel Wanjala

NA CHRIS ADUNGO KUTANA na mwanahabari Bethwel Wanjala anayelenga pia kuwa mwandishi na mhariri stadi wa vitabu ili abadilishe sura ya...

GWIJI WA WIKI: Kennedy Wandera

NA CHRIS ADUNGO KWAMBA angekuja kuwa miongoni mwa wanahabari wanaostahiwa kimataifa na sauti yake irindime na kupasua mawimbi nyuma ya...

GWIJI WA WIKI: Abdurahim Ali Bakathir

Na CHRIS ADUNGO WATAALAMU wa lugha wanakadiria kuwa idadi ya wazungumzaji wa Kiswahili kote ulimwenguni imefikia watu milioni 150. Hata...

GWIJI WA WIKI: Mwimbaji Sam Mpole

Na CHRIS ADUNGO WASANII waimbao kwa Kiswahili wamekuwa wakitia fora katika tasnia ya muziki ambayo hutegemea zaidi ujuzi wa kusuka,...

GWIJI WA WIKI: Damaris Ketrai

Na CHRIS ADUNGO KINYUME na zamani ambapo uigizaji ulikumbatiwa kwa ajili ya burudani pekee, sanaa hiyo kwa sasa ni kazi ya kitaaluma...

GWIJI WA WIKI: Sasha Kenya

Na CHRIS ADUNGO KISWAHILI ni miongoni mwa lugha kuu za Kiafrika zinazozungumzwa na idadi kubwa zaidi ya watu nchini Amerika. Kwa...