Rais Hichilema asifiwa kwa kutumia ndege ya abiria ziarani Amerika

Na AFP LUSAKA, Zambia RAIS mpya wa Zambia Hakainde Hichilema amesifiwa kwa kutumia ndege ya abiria na kuandamana na idadi ndogo ya...

Hichilema aanza kazi kwa kishindo, atimua polisi na wanajeshi

Na MASHIRIKA RAIS mpya wa Zambia ametimua makamanda wa jeshi na kikosi cha polisi waliotumiwa na mtangulizi wake Edgar Chagwa Lungu,...

Hichilema aapishwa huku raia wakitarajia mwamko mpya

Na AFP LUSAKA, ZAMBIA HAKAINDE Hichilema, 59, sasa ndiye rais mpya wa Zambia baada ya kuapishwa Jumanne katika hafla iliyohudhuriwa...

Uhuru, Raila wahudhuria sherehe ya kuapishwa kwa Rais Hichilema

CHARLES WASONGA na PSCU RAIS Uhuru Kenyatta, Jumanne alikuwa miongoni mwa viongozi 10 wa Mataifa na Serikali za Afrika waliohudhuria...

Kiongozi wa upinzani nchini Zambia akaribia kuwa Rais

Na MASHIRIKA LUSAKA, ZAMBIA KIONGOZI wa upinzani nchini Zambia Hakainde Hichilema, Jumamosi aliandikisha uongozi wa mapema dhidi ya...

Raia wa Zambia kumjua mshindi wa urais wikendi hii

Na AFP LUSAKA, Zambia RAIA wa Zambia, Alhamisi walipiga kura kumchagua Rais mpya, wabunge na madiwani, katika uchaguzi ambao...