Watawanywa kwa vitoa machozi huku wakidai haki

ANTHONY KITIMO na CECIL ODONGO POLISI JANA walitumia vitoa machozi kuwatawanya baadhi ya Waislamu waliokuwa wamekusanyika katika uga wa...

WANDERI KAMAU: Korti zetu ziige mataifa mengine kuboresha utendakazi

Na WANDERI KAMAU TANGU uhuru, Idara ya Mahakama imekuwa ikilaumiwa kwa kuchelewesha maamuzi ya baadhi ya kesi zinazowasilishwa kwake, kwa...

Familia ya mwanamume aliyepata ulemavu mikononi mwa wanaosemekana kuwa ni maafisa wa polisi yadai haki

Na MISHI GONGO FAMILIA moja mjini Mombasa inadai haki baada ya jamaa wao Bw Joseph Macharia kupata ulemavu kupitia kipigo alichopata...

MUTUA: Serikali haijali maslahi ya raia ndani na nje ya nchi

Na DOUGLAS MUTUA MWANAHABARI Mkenya, Bw Yassin Juma, atapandishwa kizimbani nchini Ethiopia wiki ijayo kujibu mashtaka yanayoaminika...

WANDERI: Ukakamavu wa Omido ni fahari kuu kwa Maathai

Na WANDERI KAMAU FLORENCE Nightingale anakumbukwa duniani kote kama mwanzilishi taaluma ya uuguzi karne 19. Alizaliwa Uingereza 1810...

Msanii Omar Blondin Diop alivyoteswa akipigania haki za raia wa Senegal

NA FLORIAN BOBIN Maisha ya mwanaharakati na msanii wa Senegal Omar Blondin Diop, aliyeuawa mwaka 1973 kwa kupigwa risasi chini ya...

MAKALA MAALUM: Amehatarisha maisha yake mara nyingi kutetea haki za wanyonge

Na KALUME KAZUNGU AMEJITOLEA kwa hali na mali ikiwemo kuhatarisha maisha yake na pia ya familia, ili kutetea haki za wanyonge. Kutana...

Wasanii Wakristo waliokataa kutengeneza kadi za mialiko ya harusi za mashoga wapata haki

Na AFP WASHINGTON D.C., Amerika JUMUIYA ya mashoga na wasagaji Amerika imepata pigo kuu baada ya Mahakama ya Kilele kuamua kwamba...

WANDERI: Uhuru na Raila, haki za waliofariki 2017 zi wapi?

Na WANDERI KAMAU DAMU ya mwanadamu si ya mnyama. Ingawa mwanadamu hufananishwa na hayawani, maumbile yake huwa yenye upekee...

#JudiciaryForTheRich: Mahakama yashambuliwa kwa kuwanyima haki maskini

Na BENSON MATHEKA WAKENYA Jumatano walishambulia idara ya Mahakama mtandaoni wakidai inabagua masikini na kupendelea kuamua kesi za...

Majaji wakuu Afrika Mashariki waungana kuimarisha haki

Na BENSON MATHEKA MAJAJI wakuu wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, wamekubali kushirikiana ili kuimarisha mfumo wa utoaji...

Wakenya waandamana Amerika kupinga serikali kuhangaisha upinzani

Na CHRIS WAMALWA na RICHARD MUNGUTI KIKUNDI kikubwa cha Wakenya wanaoishi Amerika kiliandamana Jumamosi nje ya makao makuu ya Umoja wa...