Ni njaa ilipeleka Raila kwa Uhuru, kitabu cha Mudavadi chafichua

JULIUS SIGEI Na BENSON MATHEKA MATATIZO ya kifedha ni moja ya sababu kuu zilizomfanya Kiongozi wa ODM, Raila Odinga kukubali mwafaka wa...

JAMVI: BBI itakuwa msumari wa mwisho kwa jeneza la Jubilee

Na BENSON MATHEKA Ripoti ya Jopokazi la Maridhiano, maarufu kama BBI, huenda ikawa msumari wa mwisho katika jeneza la chama cha Jubilee...

Walivyozimwa kwa minofu

Na BENSON MATHEKA WALIOKUWA viongozi wakuu wa upinzani kabla ya handisheki wametajwa kama wasaliti wa mwananchi wa kawaida. Hii ni...

Mtihani wa handisheki Jubilee ikiingia Kibra

Na CECIL ODONGO USHIRIKIANO kati ya Rais Uhuru Kenyatta na Kinara wa ODM Raila Odinga unatarajiwa kutiwa kwenye mizani baada ya chama...

Ripoti ya BBI kutayarishwa kuanzia leo, Haji atangaza

Na STEPHEN ODUOR JOPOKAZI lililoundwa na Rais Uhuru Kenyatta na Kiongozi wa ODM Raila Odinga kuzunguka nchini likikusanya maoni ya...

Manufaa ya Handisheki: Kisumu kupata miradi ya Sh50 bilioni

Na MWANGI MUIRURI MRATIBU wa utekelezaji miradi ya serikali, Dkt Fred Matiang'i ametangaza kuwa Kaunti ya Kisumu itapokezwa na serikali...

Ngome ya Rais Kiambu imechoshwa na handisheki – Kuria

Na PETER MBURU MBUNGE wa Gatundu Kusini Moses Kuria sasa anadai kuwa wakazi wa Kaunti ya Kiambu ambako ni ngome ya Rais Uhuru Kenyatta...

Kuria ashangaa handisheki bado haimtoi kortini

RICHARD MUNGUTI na VALENTINE OBARA MBUNGE wa Gatundu Kusini, Bw Moses Kuria ameshangaa kwamba kesi yake kuhusu uchochezi dhidi ya...

Barua kwa Wakenya: Amkeni mlete mageuzi

Na WANDERI KAMAU MNAMO Desemba 1795, aliyekuwa mtawala wa Ufaransa mwenye uwezo mkubwa sana wa kijeshi, Napoleon Bonaparte, aliandika...

UCHAMBUZI: Handisheki yakanganya viongozi wa ODM

Na CHARLES WASONGA MIKINZANO ya kimawazo inayodhihirika ndani ya ODM katika siku za hivi karibuni kuhusiana na baadhi ya sera za...

HANDISHEKI: Raila awaka

Na SAMWEL OWINO, PETER MBURU na VALENTINE OBARA KIONGOZI wa chama cha ODM, Raila Odinga, amekasirishwa na jinsi wakuu wa chama hicho...

Handisheki haina maana bila mageuzi ya katiba – ODM

Na RUTH MBULA VIONGOZI wa Chama cha ODM wamewapa Rais Uhuru Kenyatta na kiongozi wao Bw Raila Odinga makataa ya hadi Machi 2020 kuandaa...