Wanasiasa wazimwa kushiriki harambee kuanzia Desemba 9

Na CHARLES WASONGA NAIBU Rais William Ruto na wanasiasa wengine wanaomezea mate viti katika uchaguzi mkuu ujao wamepata pigo baada ya...

Kasisi motoni kwa kualika Tangatanga kwa harambee

Na KNA KASISI wa Kanisa Katoliki mjini Bondo, Kaunti ya Siaya amejipata mashakani baada ya kualika wandani wa Naibu Rais William Ruto...

‘Sheria yalenga kumzima Ruto’

NA MWANDISHI WETU NAIBU Rais Dkt William Ruto, huenda akapata pigo baada ya serikali kupendekeza sheria inayowapiga marufuku watumishi...

USITUSAHAU: Wasioamini uwepo wa Mungu sasa wamlilia Ruto awachangie

NICHOLAS KOMU na AGGREY OMBOKI CHAMA cha Wanaomkana Mungu (AIK) kimemuomba Naibu Rais William Ruto kuwakumbuka wao pia katika michango...

Pendekezo wanaochanga zaidi ya Sh100,000 waripoti kwa EACC

Na SAMWEL OWINO WATUMISHI wote wa umma wanaochanga zaidi ya Sh100,000 katika harambee watahitajika kutoa ripoti zao za ulipaji ushuru...

Harambee Stars yateremka nafasi mbili viwango vya ubora Fifa

Na GEOFFREY ANENE TIMU ya taifa ya Kenya, Harambee Stars imeteremka nafasi mbili kwenye viwango vya ubora wa Shirikisho la Soka Duniani...

Wahubiri wataka michango ya wanasiasa kanisani itolewe kisiri

Na VALENTINE OBARA VIONGOZI wa dini nchini sasa wamependekeza kuwa michango ya wanasiasa makanisani na katika taasisi nyingine za kidini...

Ruto afuta ziara ya harambee katika shule ambako wazazi wanapunjwa

Na NDUNGU GACHANE NAIBU Rais William Ruto, amefutilia mbali ziara ya Shule ya Upili ya Murang’a ambapo alitarajiwa kuongoza mchango...