Wakazi walia barabara mbovu zinawaletea hasara

Na SAMMY WAWERU WAKAZI wa mtaa wa Zimmerman, Nairobi wanalalamikia muundomsingi duni wa barabara eneo hilo, wakilia sasa wanapata hasara...

Java yawaomba wafanyakazi wajiuzulu kwa hiari

NA WANGU KANURI Mkahawa wa Java wenye afisi zake kuu jijini Nairobi umewapa wafanyikazi wake notisi ya kujiuzulu  kwa hiari kabla ya...

Wafanyabiashara walalama bidhaa za kuuza yakiwemo mazao kuteketezwa Githurai

Na SAMMY WAWERU MAMIA ya wafanyabiashara wanaouza vyakula na mazao ya kutoka shambani katika soko Githurai wanakadiria hasara kubwa...

Kalameni amtoroka slay queen akihofia hasara zaidi

Na DENNIS SINYO LESSOS, ELDORET POLO mmoja mtaani hapa alimhepa kipusa alipoitisha pombe badala ya soda wakiwa katika eneo moja la...

Sakata mpya ya mahindi serikalini yawaletea wakulima hasara kubwa

Na WAANDISHI WETU Kwa ufupi: Sehemu ya Sh7.1 bilioni zilizotengwa kwenye bajeti ya 2017/2018 kununua mahindi kutoka kwa wakulima...

Faida ya Kenya Power yashuka

Na BERNARDINE MUTANU FAIDA ya kampuni ya Umeme nchini (Kenya Power) imeshuka kwa asilimia 30.3. Hii ni baada ya kupata mapato baada ya...