HASLA BANDIA

Na CHARLES WASONGA HATUA ya Wabunge kuagiza Waziri wa Usalama, Fred Matiang’i na maafisa wakuu katika idara ya polisi kufika mbele yao...

Hamwezi kuzima hasla, Ruto aambia wapinzani

BENSON MATHEKA NA PIUS MAUNDU NAIBU Rais William Ruto amewasuta viongozi wa vyama vya upinzani akisema wanajuta kwa kudharau kampeni...

Ruto akausha mahasla

Na CHARLES WASONGA NAIBU Rais William Ruto amelaumiwa kwa kutoa zabuni ya ununuzi wa fulana na kofia zinazotumika katika kampeni jwa...

BBI: Magari kwa madiwani, wilbaro kwa vijana

Na BENSON MATHEKA VUTA nikuvute kuhusu mchakato wa marekebisho ya Katiba kupitia Mpango wa Maridhiano (BBI), imefanya wanaounga na...

Ruto akubaliana na Raila kuwa kaulimbiu ya ‘hasla’ haifai kuharamishwa

Na CHARLES WASONGA KWA mara ya kwanza baada ya kipindi kirefu Naibu Rais William Ruto ameonekana kukubaliana na hasidi wake wa kisiasa...

Wewe si ‘hasla’, ulikuwa karibu na Mzee Moi hata kuliko Gideon Moi, Kalonzo amwambia Ruto

Na SAMMY WAWERU Kiongozi wa chama cha Wiper Bw Kalonzo Musyoka amemsuta Naibu wa Rais William Ruto kuhusu kauli yake ya...

Wanaojiita ‘mahasla’ kusukumwa jela

Na GUCHU NDUNG’U WAKENYA wanaojiita ‘mahasla’ wataanza kusukumwa gerezani wabunge wakipitisha pendekezo la kufanya mjadala huo...

Ruto alia ‘mahasla’ wanamfyonza

Na BENSON MATHEKA NAIBU Rais William Ruto sasa analalamika kuwa wapigakura wanatumia ukarimu wake kujinufaisha wanapotaka maendeleo,...

Hasla bandia, Joshua feki 2022?

MWANGI MUIRURI na BENSON MATHEKA NAIBU Rais William Ruto amekashifiwa vikali kwa kutumia umaskini na matatizo yanayowakumba mamilioni ya...

‘Hasla’ yatetemesha

Na WAANDISHI WETU MBINU ya Naibu Rais William Ruto ya kujipigia debe miongoni mwa watu wa tabaka la chini imetia tumbojoto wapinzani...

WASONGA: Ruto anapopinga nyadhifa zaidi, apinge pia ‘ikulu’ yake

Na CHARLES WASONGA NAIBU Rais William Ruto amekuwa akijinadi kama kiongozi anayeweka mbele maslahi ya Wakenya wa kawaida, kwa sababu...

KINAYA: ‘Wiper’ ajue ufalme si moto wa sigara kupeanwa, siasa ni weledi wa kamari

Na DOUGLAS MUTUA WAKAMBODIA bado wana hasira! Tena nyingi tu. Za nini lakini? Sina hakika, ila juzi wengi wamenitimua kutoka vikundi...