Mtihani wa Joho kuhepa siasa za 001

NA WAANDISHI WETU MATARAJIO kwamba Gavana wa Mombasa, Bw Hassan Joho, atajitenga na siasa za Kaunti ya Mombasa ifikapo Agosti huenda...

Joho aaga wakazi wa Mombasa

NA FARHIYA HUSSEIN GAVANA wa Mombasa, Hassan Joho amewaaga wenyeji wa Mombasa, huku akisisitiza kuwa atakuwa rais wa kwanza Muislamu...

Mngurumo wa Joho wakosekana siasani

NA MWANDISHI WETU USHAWISHI wa Gavana wa Mombasa, Bw Hassan Joho, kwa siasa za Pwani na kitaifa kwa jumla umekosekana kwa takriban wiki...

Urithi wa Joho wazua taharuki

WACHIRA MWANGI NA WINNIE ATIENO WANASIASA wanaotaka kuwania ugavana Mombasa kupitia Chama cha ODM, wametakiwa kutuliza uhasama wa...

KIGODA CHA PWANI: Jinsi mkono wa Joho utakoroga kampeni za ugavana Mombasa

Na PHILIP MUYANGA HATUA ya Gavana Hassan Joho kuashiria kumuunga mkono Mbunge wa Mvita, Bw Abdulswamad Nassir kuwania ugavana Mombasa...

VALENTINE OBARA: ‘Tosha’ ya Joho si hakikisho ya mteremko uchaguzini

Na VALENTINE OBARA WANASIASA wanaotafuta nafasi ya ugavana katika Kaunti ya Mombasa, wamefanya kampeni tele kujitafutia umaarufu mapema...

Magavana wa Pwani wapata presha kali kuungana

ALEX KALAMA na VALENTINE OBARA SHINIKIZO imezidi kutolewa kwa magavana watatu wa Pwani waepuke kutengana katika uchaguzi...

Joho ampa Raila masharti makali

Na WACHIRA MWANGI GAVANA wa Mombasa, Bw Hassan Joho, anataka makubaliano mapya na Kiongozi wa chama cha ODM, Bw Raila Odinga, kuelekea...

Joho ashinikiza sera za mizigo bandarini zibadilishwe

Na WINNIE ATIENO GAVANA wa Mombasa, Bw Hassan Joho, amehakikishia wakazi na wafanyabiashara katika kaunti hiyo kuwa ataendelea...

Joho ageuka mteja ‘Baba’ akizuru Pwani

Na WAANDISHI WETU GAVANA wa Mombasa, Bw Hassan Joho, kwa mara nyingine alikosekana katika ziara ya Kiongozi wa ODM Raila Odinga, maeneo...

Raila yuko guu moja ndani Ikulu, Joho adai

Na WACHIRA MWANGI GAVANA wa Mombasa Hassan Joho ambaye pia ni Naibu Kiongozi wa chama cha ODM amesema ishara zote zinaonyesha kuwa Raila...

Joho aagizwa kuweka wazi kandarasi ya mradi Buxton

Na PHILIP MUYANGA GAVANA wa Mombasa, Bw Hassan Joho, pamoja na maafisa wakuu wa kaunti hiyo wameagizwa na mahakama wafichue kandarasi na...