MAUYA OMAUYA: Amri ya kafyu imegeuka soko la rushwa

Na MAUYA OMAUYA JUMAPILI iliyopita, binamu wangu anayeishi mjini Nakuru alinipigia simu kunieleza amesafiri hadi Nyamira kuwasalimu kina...

Wabunge 4 wa Tangatanga wakamatwa kwa kuhonga wapigakura

 JARED NYATAYA na CHARLES WASONGA WABUNGE wanne wa mrengo wa Tangatanga wangali wanazuiliwa katika kituo cha polisi cha Bungoma baada...

Mwaniaji wa udiwani wa UDA akamatwa kwa kuhonga wapigakura

RUTH MBULA Na SAMMY WAWERUUDA MAAFISA wa polisi katika Kaunti ya Kisii walimtia nguvuni mgombea wa kiti cha udiwani kwa tiketi ya chama...

Fujo, hongo kwenye uchaguzi mdogo Nakuru

NA ERIC MATARA WANAHABARI watatu wamepata majeraha kwenye ghasia ambazo zimeshuhudiwa Alhamisi asubuhi katika kituo cha kupigia kura cha...

Diwani ang’olewa uongozini kutokana na hongo

Na RICHARD MUNGUTI DIWANI (MCA) wa Wadi ya Karen kaunti ya Nairobi Bw David Njilithia Mberia Alhamisi alipoteza kiti chake baada ya...

Chifu asimamishwa kazi kwa kutafuna hongo ya Sh30,000

Na RICHARD MUNGUTI NAIBU wa chifu katika kata ya Highridge, Nairobi Jumatatu aliagizwa asimamishwe kazi mara moja baada ya kushtakiwa...

Kitoweo cha trafiki chamwagwa baada ya vizuizi kuondolewa barabarani

Na WAANDISHI WETU POLISI wengi wa trafiki sasa watapoteza mfereji wa sehemu kubwa ya mapato yao kufuatia agizo la wakuu wao kuondoa...

Naibu Kamishna mpenda hongo abambwa kwa utapeli wa mashamba

NA MWANGI MUIRURI NAIBU Kamishna katika Kaunti ya Murang’a amekamatwa na maafisa wa kupambana na ufisadi kwa madai ya utapeli wa...

Chifu anaswa akimumunya hongo

NA CHARLES WANYORO Maafisa wa upelelezi kutoka Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi (EACC) walimkamata chifu mmoja katika Kaunti ya...

Raha mitandaoni mwanamume kutoweka na hongo ya polisi Embu

NA ELVIS ONDIEKI MWANAMUME katika Kaunti ya Embu, aliwaacha polisi wa trafiki vinywa wazi baada ya kutoweka na mabunda ya noti...

Polisi wanyakwa wakimeza hongo

Na MAUREEN ONGALA MAAFISA wawili wa polisi walitiwa mbaroni wikendi walipofumaniwa na Kamanda wa polisi eneo la Pwani, Bw Rashid Yaqub,...

Mutyambai azima polisi waliozoea hongo katika vizuizi barabarani

Na CHARLES WASONGA INSPEKTA Jenerali wa Polisi Hillary Mutyambai Jumatano ameamuru kuondolewa kwa vizuizi na vituo vya ukaguzi wa magari...