Kaunti ya Nakuru yalenga kuwa na vitanda 1,000

Na PHYLLIS MUSASIA Kaunti ya Nakuru inatarajia kuongeza idadi ya vitanda katika maeneo yaliotengwa hospitalini kwa ajili wa wagonjwa wa...

Mtoto alivyoibwa baada ya kuzaliwa, hospitali lawamani

WINNIE ATIENO, MOMBASA Bi Victoria Zubeida (pichani) alitembea katika Kituo cha Matibabu cha Mikindani huko Jomvu, Kaunti ya Mombasa...

Hospitali ya kina mama kujifungua kuwafaa wengi mpakani Nakuru na Baringo

Na PHYLLIS MUSASIA NI habari njema kwa wakazi wanaoishi katika vijiji vya mpaka baina ya Kaunti za Nakuru na Baringo baada ya kituo...

Uozo katika hospitali nne za rufaa unavyolemaza utoaji huduma

Na CHARLES WASONGA HOSPITALI nne za rufaa humu nchini zimezongwa na matatizo kiasi kwamba utoaji wa huduma zisizoafiki viwango vya...

Hospitali ya Chuo Kikuu cha Kenyatta kufunguliwa Agosti

Na LAWRENCE ONGARO HOSPITALI kuu mpya ya kitaifa ya Chuo Kikuu cha Kenyatta inatarajiwa kufungua milango yake rasmi hapo...

AFYA: Changamoto ilizopitia Hospitali ya Bondeni kuimarisha huduma

NA MAGDALENE WANJA WIZARA ya Afya imekumbwa na changamoto tele kwa muda wa miaka sita sasa tangu ugatuzi ila hospitali ya Bondeni,...

Miili ya wafu isiyo na wenyewe yatatiza hospitali ya Thika Level 5

Na Mary Wambui WASIMAMIZI wa Hospitali ya Thika Level Five wameeleza wasiwasi wao kuhusu idadi kubwa ya miili ya wafu ambayo jamaa za...

Aliyefanyiwa upasuaji vibaya akijifungua Gatundu afariki

Na LAWRENCE ONGARO MWANAMKE aliyefanyiwa upasuaji vibaya alipokuwa akijifungua katika hospitali ya Gatundu Level 4 wiki mbili...

Madaktari watoa sindano 7 kutoka tumbo la mtoto

TITUS OMINDE na DENNIS LUBANGA MADAKTARI katika Hospitali ya Mafunzo na Rufaa ya Moi (MTRH) mjini Eldoret wamefanikiwa kutoa sindano...

Wagonjwa wanafariki tukitazama, serikali iwajibike – Madaktari

Na PETER MBURU MADAKTARI katika Hospitali ya Rufaa ya Nakuru Level Five wamekiri kuwa wagonjwa wamekuwa wakifariki humo kutokana na subira...

Hospitali yakataa kuachilia maiti ikazikwe

Na SHABAN MAKOKHA FAMILIA moja katika eneo la Lurambi kaunti ya Kakamega inaomba msaada wa zaidi ya Sh2.3 milioni kulipia gharama za...

Mawakili wapinga NHIF kuitisha Wakenya cheti cha ndoa

Na RICHARD MUNGUTI CHAMA cha wanasheria nchini LSK Jumatatu kiliwasilisha kesi katika mahakama kuu kupinga agizo la bima ya kitaifa ya...