Raila ataka serikali ilegeze masharti ya ibada

Na CHARLES WASONNGA KIONGOZI wa ODM Raila Odinga ameunga mkono pendekezo la baadhi ya viongozi wa kidini kwamba waruhusiwe kurejelea...

Masharti ya ibada makanisani na misikitini yalegezwa kiasi

Na SARAH NANJALA MAENEO ya ibada yaliyo na nafasi kubwa sasa yataruhusiwa kuwa na waumini zaidi ya 100 kwa kila ibada kulingana na...

Waumini wagomea ibada wakiogopa corona

Na BENSON MATHEKA WAUMINI wa makanisa mengi nchini walikosa kuhudhuria ibada makanisa yalipofunguliwa jana, huku idadi ya watu...

Makanisa yatumia teknolojia kusajili waumini kwa ibada

Na BENSON MATHEKA MAKANISA yamelazimika kutumia teknolojia kusajili waumini kuhudhuria ibada kufuatia kanuni mpya za kuzuia maambukizi...

Makanisa Kiambu yajiandaa vilivyo kuwapokea waumini

Na LAWRENCE ONGARO HUKU Covid-19 ikizidi kusambaa nchini, makanisa yanaendelea kujizatiti kuona ya kwamba yanajipanga kupokea waumini...

Masharti ya kuzima wazee yazua kizuizi kwa ufunguzi wa makanisa

TITUS OMINDE, DIANA MUTHEU na MAUREEN ONGALA IBADA ndani ya makanisa na misikiti huenda zikaathirika, baada ya viongozi wa kidini kusema...

Changamoto kuzuia wazee katika ibada

Na BENSON MATHEKA UAMUZI wa serikali kwamba wazee wa zaidi ya umri wa miaka 58 wasikubaliwe kuingia katika maeneo ya ibada umeacha...

Aliyeingia Ikulu akitaka kushauriana na Uhuru kuhusu ibada aachiliwa

Na RICHARD MUNGUTI MAHAKAMA ya Milimani imemwachilia huru mwanamume aliyeingia Ikulu ya Nairobi akidai anataka kushauriana na...

Uwanja ambapo ibada hufanyika wakati wa corona

Na SAMMY WAWERU Ni zaidi ya siku 100 tangu kisa cha kwanza cha maambukizi ya Covid - 19 kiripotiwe nchini Kenya, mnamo Machi 13,...

Baraza laundwa kufungua ibada

CHARLES WASONGA na SAMMY WAWERU HATIMAYE serikali imedhihirisha kujitolea kwake kufungua maeneo ya ibada kwa kubuni baraza maalum la...

Wakristo sasa wafanya ibada milimani na mapangoni kisiri

Na TITUS OMINDE BAADA ya serikali kupiga marufuku ibada katika makanisa na mikutano ya kidini kama njia moja ya kukabiliana na kuenea...

Corona yapangua ibada, sadaka kutolewa kwa kutumia M-Pesa

Na FAITH NYAMAI KWA mara ya kwanza katika historia ya Kenya, makanisa mengi yamesitisha ibada zao za Jumapili kote nchini na kuwaruhusu...