Shahidi wa kesi dhidi ya Gicheru ICC ‘atoweka’

Na VALENTINE OBARA MMOJA wa mashahidi aliyetarajiwa kutoa ushahidi dhidi ya wakili Paul Gicheru katika Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu...

Wakili Karim Khan kujiondoa kwenye kesi ya Ruto ICC

Na VALENTINE OBARA KIONGOZI wa Mashtaka katika Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC), Bi Fatou Bansouda, ametangaza kuwa wakili Karim...

Bensouda afurahia kuruhusiwa kukagua vifaa vilivyomilikiwa na wakili Gicheru

Na VALENTINE OBARA AFISI ya Kiongozi wa Mashtaka katika Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) inayoongozwa na Bi Fatou Bensouda,...

Chadema washindwa kumshtaki Magufuli ICC

Na THE CITIZEN MAAFISA wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wameshindwa kushtaki serikali ya Rais John Pombe Magufuli katika...

Wakili aliyejisalimisha ICC asalia pweke Kenya ikijitenga

Na VALENTINE OBARA WAKILI Paul Gicheru aliyejisalimisha kwa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC), ameikosoa serikali ya Kenya kwa...

Ruto aingiwa na baridi kesi yake ya ICC ikifufuliwa

Na BENSON MATHEKA ?HATUA ya Naibu Rais William Ruto ya kusitisha mikutano yake ya kisiasa, imeibua hofu kwamba, ameingiza baridi...

Corona na ICC zimemtoa pumzi Ruto – Wadadisi

Na BENSON MATHEKA HATUA ya Naibu Rais William Ruto ya kusitisha mikutano yake ya kisiasa, imeibua hofu kwamba ameingiza baridi kufuatia...

Watatiza nchi kwa siasa za ubabe

Na WANDERI KAMAU MZOZO wa kisiasa kati ya Rais Uhuru Kenyatta na Naibu Rais William Ruto umegeuka kero kwa maendeleo, umoja na usalama...

Wataalamu wailaumu ICC kwa kusitisha kesi za UhuRuto

NA VALENTINE OBARA MAHAKAMA ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) imekosolewa kwa kufanya Rais Uhuru Kenyatta na naibu wake, Dkt William Ruto,...

ICC yazua baridi mpya kwa UhuRuto

Na VALENTINE OBARA WASIWASI kuhusu kufufuliwa kwa kesi dhidi ya Rais Uhuru Kenyatta na naibu wake William Ruto kuhusu ghasia za baada ya...

ICC yapuuzilia mbali madai ya Ruto

Na WALTER MENYA MAHAKAMA ya Kimataifa kuhusu Uhalifu (ICC), imekana madai ya Naibu Rais William Ruto kwamba kuna njama ya kufufua kesi...

OBARA: ICC ikome kutonesha vidonda vya wahanga wa fujo 2007

Na VALENTINE OBARA MAJIBIZANO kuhusu kesi za ghasia zilizotokea baada ya Uchaguzi Mkuu wa 2007 ni kama kukejeli waathiriwa wa ghasia...